Ushauri wa kozi za kusoma zenye market hapa bongo

Naona kozi ya ujasiliamali ndo inakufaa na itakulipa sana wewe kijana......we piga kwa kitabu zen ajira baadae acha kuwaza ajira kwa sasa
 
1.Marketing Management

2.Business Management

3.Human resource mngmnt

4.International Business Management

5.Procurement n supplies management

tuwe serious vijana wenzangu,JE NI IPI KATI YA HIZO INA MARKET HAPA BONGO?NA MUCH PAYABLE?

soma mambo ya performing arts, si unaona akina diamonds wanavyopeta na kujipatia umaarufu?
 
1.Marketing Management

2.Business Management

3.Human resource mngmnt

4.International Business Management

5.Procurement n supplies management

tuwe serious vijana wenzangu,JE NI IPI KATI YA HIZO INA MARKET HAPA BONGO?NA MUCH PAYABLE?
kasomee shahada ya ufisadi na siasa ndo inalipa sana hapa bongo....chuo cha janja janja college of polical and bribery pwani...
 
Kusoma tu bila kujua kipawa chako haitakusaidia...... muhimu ni kushughulika na kipawa chako ulichozaliwa nacho hapo ndipo itakulipa na si vinginevyo. (Hata usomeje au usomeee nini)!!!!!!!!!!!!!!
 
Procurement and supplies, ndio iko juu na inaendelea kuwa juu. We unadeal na kuwapa tenda ma-supplier, halafu jioni mnakutana sehemu wanakukatia 10% yako.

mawazo kama yako ndo yameharibu nchi kwa kiwango kikubwa, halafu bado mnailaumu CCM
 
Kusoma tu bila kujua kipawa chako haitakusaidia...... muhimu ni kushughulika na kipawa chako ulichozaliwa nacho hapo ndipo itakulipa na si vinginevyo. (Hata usomeje au usomeee nini)!!!!!!!!!!!!!!

Umesema kweli mkuu,
Haya mambo ya kusomea kozi zinazolipa ndo hupelekea watu kufanyiwa operesheni ya kichwa wakati anaumwa mguu, maana dokta anashika mikasi mkononi huku kichwani anafikiria mshahara.

Somea kitu unachokipenda ili hata mafanikio yakichelewa usikate tamaa maana utakuwa unafanya kitu unachokipenda.

Nimekutana na wanafunzi kibao tena wa vyuo vikuu ambao ukiwauliza wanataka kuwa nani hawajui. Hawana ndoto.
 
Acha hizo!!!!!!!!!!. Bongo michongo Vijana. Hakuna market ya kozi TZ. Unaweza soma engineering ukapewa ubalozi.

Soma ukajiajiri. Ila usijue Ukasoma Public Admistration kama hujui kampuni ya kufanya kazi hiyo. Maana kila mwenye kampuni ni meneja.
 
Inategemea, ni kujiajiri au kuajiriwa? jaribu kuchekecha zenye uwezo wa kujiajiri!
 
1.Marketing Management

2.Business Management

3.Human resource mngmnt

4.International Business Management

5.Procurement n supplies management

tuwe serious vijana wenzangu,JE NI IPI KATI YA HIZO INA MARKET HAPA BONGO?NA MUCH PAYABLE?

Binafsi nakushauri ukasome Bsc.Agricultural Economics and Agribusiness,it is more valuable na pia ina uwanja mpana sana karibu course zote ulizotaja hapo juu utazisoma kwenye hii kozi.Fuatilia vizuri hii kozi utaona marketability yake.Inafundishwa sua peke yake hapa nchini kwetu Tz.
 
Kilimo cha kisasa
Tafuta kozi za kilimo au biashara ajira Bongo ni kitendali kitakacho kosa mtegaji
 
kasomee shahada ya ufisadi na siasa ndo inalipa sana hapa bongo....chuo cha janja janja college of polical and bribery pwani...

kaka acha mzaha mwenzako anaomba msaada wa ushauri kumbuka sisi binadamu hatujakamilika wakati mwingine tunahitaji ushauri kutoka kwa wenzetu
 
Binafsi nakushauri ukasome Bsc.Agricultural Economics and Agribusiness,it is more valuable na pia ina uwanja mpana sana karibu course zote ulizotaja hapo juu utazisoma kwenye hii kozi.Fuatilia vizuri hii kozi utaona marketability yake.Inafundishwa sua peke yake hapa nchini kwetu Tz.

ukijaribu kuangali hatuna zaid ya miaka kum tz itashift kutoka agriculture sector kwenda industry, xo uyu mtu wa agribisnes atakuwa kushinei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom