The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,463
- 13,474
Hakuna kitu kama hicho yaani unataka riba ya 48% hata ukifanya biashara hiyo ngumu kupataHusika na mada tajwa hapo juu,
Mimi ni mtumishi katika Secta Binafsi hapa nchini Tanzania.
Katika utumishi wangu nimefanikiwa kujichanga mpaka kufikia million 50. Hizi pesa ziko kwenye account bank lakini naona zimekaa tu nazidokoa dokoa ila kwa sasa natafuta taasisi gani ya Kifedha mfano hizi bank au yoyote ile ambayo naweza kuwapa waifanyie kazi lakini mwisho wa mwezi waweze kunizalishia angalau Milioni 1.2 kama riba.
Nafahamu nilipaswa kuanzisha biashara kwa kiwango hicho lakin nature ya majukumu niliyonayo kwa sasa siwezi kufanya biashara. So naombeni ushauri najua humu ndani kuna wataalam wengi sana wanaojua wapi naweza fanya hizi harakati.
Asanteni sana
Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app