- Thread starter
- #21
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa ujasili. Halafu jamani serikali ichunguze pale maana kuna waathirika wamejificha tena wanajulikana, wako hadi wa ngazi za juu, wanaadhimishaga siku ya Ukimwi kwa hadaa tuu, watawaangamiza watu kwa shinikizo la rushwa ya ngono kwenye elimu, kwa kutumia fedha, nafasi za ajira na kupandishwa cheo, nawahurumia sana ndugu zangu waliopo hatarini, muwe makini tamaa inaua jamani. Kuna siku nitawataja kwa majina maana yapo.
Nenda central polisi dawati la jinsia au TAKUKURU haki itatendeka.