Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
mimi nimehitimu kidato cha nne 2015 na kupata ufaulu wa Div III.25 CIV D ENG C PHYS D HIST D CHEM C KISW D BIOS D GEO D B/MATH C nikaomba ualimu wa shule ya msingi ktk chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere -Kigamboni nikaanza kumasoma mwezi October lakini mwezi November nikaomba uhamisho online through NACTE nifanikiwa kuhamishiwa BUSTANI TTC -DODOMA lakini nikakosa ada ya kwenda kulipa upya nikapiga chini wala sikufatiliaga NACTE juu ya hilo swala na Chuoni mwalimu nyerere sikuwashilikishaga juu ya uhamisho wangu kwani nilifanya online na naendelea na masomo hapa mwalimu nyerere lakini maisha ya hapa ni ghari ada kubwa kama private mbaka anaenilipia amekataa amesema bora kwenda vyuo vya TTC na mm nikawaza kuaply upya niombe vyuo vya TTC nifanyeje ili nijue sipo kwenye system ili niombe upya kwani tayari niliishakubali kupoteza mwaka
Msaada wenu tafadhari kama haikuhusu usicoment
Msaada wenu tafadhari kama haikuhusu usicoment