Ushauri wa kielimu tafadhali

Alexander McQueen

Senior Member
Aug 30, 2016
183
41
mimi nimehitimu kidato cha nne 2015 na kupata ufaulu wa Div III.25 CIV D ENG C PHYS D HIST D CHEM C KISW D BIOS D GEO D B/MATH C nikaomba ualimu wa shule ya msingi ktk chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere -Kigamboni nikaanza kumasoma mwezi October lakini mwezi November nikaomba uhamisho online through NACTE nifanikiwa kuhamishiwa BUSTANI TTC -DODOMA lakini nikakosa ada ya kwenda kulipa upya nikapiga chini wala sikufatiliaga NACTE juu ya hilo swala na Chuoni mwalimu nyerere sikuwashilikishaga juu ya uhamisho wangu kwani nilifanya online na naendelea na masomo hapa mwalimu nyerere lakini maisha ya hapa ni ghari ada kubwa kama private mbaka anaenilipia amekataa amesema bora kwenda vyuo vya TTC na mm nikawaza kuaply upya niombe vyuo vya TTC nifanyeje ili nijue sipo kwenye system ili niombe upya kwani tayari niliishakubali kupoteza mwaka

Msaada wenu tafadhari kama haikuhusu usicoment
 
Kama nina kumbukumbu sawa mwaka jana ilikuja taarifa iliyoonyesha kua TTC's ada zimepanda.

Kwahiyo tuseme MNMA ada yao bado ndefu ukilinganisha na hiyo iliyopanda?

Kigamboni maisha ghali kama utataka kwenda sawa na mabrazamen wa IFM na CBE lakini ukiishi kama kijana wa familia ya kawaida aliyekuja kusoma sidhani kama utapata ugumu huo
 
Back
Top Bottom