a teacher from jamii forum [emoji122][emoji122][emoji1].Inaandikwa HAYO na siyo AYO. Unaona hasara ya kubisha unapoambiwa ukweli? Huwezi kujua makosa yako na kuyarekebisha!
Asante sana ndugu yangu. Unajua vijana wengi wa kitanzania wangekuwa kama wewe tungefika mbali. Watanzania wengi ukiwakosoa hawataki na hujaribu kubishana, tena kwenye makosa ya wazi. Hii inafanya watu kuendelea kukosea na mwisho makosa kujenga mazoea na hatimae utamaduni. Hata mimi siyo mkamilifu na nafanya makosa mengi kabisa. Ila nakubali kukosolewa.a teacher from jamii forum [emoji122][emoji122][emoji1].
Asante sana alafu mm huwa napenda criticism maana ndo huwa zinamjenga mtu.
Matajiri na watu waliofanikiwa wote ukisoma vitabu vyao walikubali kukosolewa.ASANTE SANA
Ebu npe ushauri kwanza achana na ayo mkosa[emoji1][emoji1][emoji1] coz hata watu watumishi wanakosea sembuse mm[emoji16]
Hii thread itakosa wachangiaji ila ungeandika ya Gwajima ingejaa.Hakika Ccm itatawala milele.Usjauri wangu angalia nguo za kike.Mimi nimefanya Sana hiyo Biashara hasa boom linapotoka inalipa kwa kweli.Nilipomaliza nilimuachia dogo ambae nilikuwa nakaa nae.Mpaka dk hii kaniacha kimaisha me Niko kazini dogo alipousoma upepo wa JPM akaikomalia Biashara Sasa hivi si mchezo.Anachukua nguo Nairobi analeta TZ pia maeneo ya chuo kaweka Mashine ya kufulia nguo nako anapiga ela saana.Angalia Hapo Kwanza.
Kwanini Kila Mtoa Mada Anapenda Kujiita Yeye Mwanafunzi Wa Chuo Fulan Hasa Kwenye Mada Hizi Mbili Za Biashara Na Mapenzi Sikiliza Bwana Mdogo Wewe Mwanafunzi Nenda Kwanza Kasome Tuache
Dah mm natamani kiuza mikoba ya wanawake ya mgongoni na cross body na vipochi vidogo vidogo sema sijapata tu chimbo la utu tuvituNakushauri ufanye biashara ya huduma
1.Toa huduma ya udobi chuoni ksma haipo, kama ipo chunguza udhaifu wa hao na wapiku.ukitka mbinu zaidi ya hili waxo ni pm
2.Uza maji, uza maji.Hili wazo nilitaka kulifanya baada ya kumtembelea ndugu yangu maeneo flani hapo dar, wananunua maji mpaka1000 kwa dumu, sijui kwa sasa kama maji yamefika au la.ilikuwa2015.
3.Uza mikorogo ya wanawake.Wanawake wa Kiafrika hawana akili, narudia tena hawana akili, chovhote utakachowapelekea na kuwaambia utapendeza au utakuwa kama mwarabu watanunua.Bidhaa yako ikikubalika na wanawake umetoka, maana hawana akili ila sio wote.kwa Ushauri zaidi wa mawazo mazuri ni pm.