Ushauri wa kibiashara ndugu zangu

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa naomba ushauri wa kibiashara kwani mimi ni Mwanafunzi wa chuo kimoja cha kitabibu hapa nchini.

Katika harakati zangu za hapa na pale za kupiga overtime nikafanikiwa kupata sh 1.3M sasa mpaka saivi nataka nifanye businesses ambayo inaweza kuniingizia kipato kipindi ichi bado nasoma na hata nkimaliza kwan sometimes huwa najilipia ada ya chuo.Kwa nyakati izi kijana kama mm natakiwa nijishughulishe nje na elimu ili kupata kipato and mifano ipo mingi ya watu kusoma huku wanaingiza fedha so,

NAPOKEA USHAURI WENU NDUGU ZANGU
 
Niwe nje ya mada kidogo...kwakweli wanafunzi wa siku hizi ni mwendokasi..hivi huwa mnafika hadi A level au??yaan hata kuandika ni shida jamani!πŸ€”..samahani kwa hilo...
 
Niwe nje ya mada kidogo...kwakweli wanafunzi wa siku hizi ni mwendokasi..hivi huwa mnafika hadi A level au??yaan hata kuandika ni shida jamani![emoji848]..samahani kwa hilo...
Mwalimu wa UPE katika ubora[emoji23][emoji23]
(mwalimu .wa muandiko)
 
Kwanini Kila Mtoa Mada Anapenda Kujiita Yeye Mwanafunzi Wa Chuo Fulan Hasa Kwenye Mada Hizi Mbili Za Biashara Na Mapenzi Sikiliza Bwana Mdogo Wewe Mwanafunzi Nenda Kwanza Kasome Tuache
 
Wapige wanafunzi wenzako mikopo midogo midogo kwa riba ndogo. Hasa kipindi boom halijatoka. Ukiwa makini utatoka dogo.
 
Wapige wanafunzi wenzako mikopo midogo midogo kwa riba ndogo. Hasa kipindi boom halijatoka. Ukiwa makini utatoka dogo.
[emoji122][emoji122] hili wazo nalibeba mkuu and asante sana.
 
Ebu npe ushauri kwanza achana na ayo mkosa[emoji1][emoji1][emoji1] coz hata watu watumishi wanakosea sembuse mm[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Au ulitaka kumaanisha Ayo tv[emoji4][emoji4]...aisee
 
Hii thread itakosa wachangiaji ila ungeandika ya Gwajima ingejaa.Hakika Ccm itatawala milele.Usjauri wangu angalia nguo za kike.Mimi nimefanya Sana hiyo Biashara hasa boom linapotoka inalipa kwa kweli.Nilipomaliza nilimuachia dogo ambae nilikuwa nakaa nae.Mpaka dk hii kaniacha kimaisha me Niko kazini dogo alipousoma upepo wa JPM akaikomalia Biashara Sasa hivi si mchezo.Anachukua nguo Nairobi analeta TZ pia maeneo ya chuo kaweka Mashine ya kufulia nguo nako anapiga ela saana.Angalia Hapo Kwanza.
 
''in this era nothing is important than being educated,'' by dr strive. elekeza nguvu zako zote kwenye elimu kwa sasa ili uepuke kuwa mediocre graduate.
ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…