ushauri wa haraka!

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini,nampenda sana ila ananitenda sana na kumwacha nashindwa nifanyaje, ushauri tafadhali!
 
Sasa kama huwezi kumuacha ushauriwe nini tena?
Kilichobaki ni wewe kumvumilia na kuendelea kumpenda.

Au unaweza ukaacha kumpenda ili usione ugumu kumuacha.
 
Sasa kama huwezi kumuacha ushauriwe nini tena?
Kilichobaki ni wewe kumvumilia na kuendelea kumpenda.

Au unaweza ukaacha kumpenda ili usione ugumu kumuacha.
arrroooo mwenzio ana mastress,embu mtulize usimchanganye na mabombastic au ka vipi mwambie Loreen aniPM.
 
loreen bado hujamwacha mpaka leo? Lichaya ushauri ulopewa hapo nyuma?

Kuna mawili la umuache au ukubali maumivu anayokusababishia. Amua kusuka au kunyoa.
 
LOVE !!! A strange phenomenon of liking an not liking at the same time. Uamuzi unao mwenyewe.
 
Endelea tu kuwa slave of love, haiko shida.

Fanya ile kitu roho inapenda
 
Tafadhali samehe na kusahau....! Zitafikaje saba wakati ya kwanza umeshasahau? Otherwise, keep on waiting until you say "NO" automatically, because when the time come, there shall be nobody who may advice you otherwise.....! The time will tell when it come....! Just wait!
 
habarini,nampenda sana ila ananitenda sana na kumwacha nashindwa nifanyaje, ushauri tafadhali!
Funguka ili usaidiwe, anakutendaje? Ni nani yako? Mkeo/mumeo, mchumba, hawara, etc etc etc. Amekutendaje? Unajua kushauri jambo ni lazima ujue undani wake. Sasa kama kosa hatulijui, hatujui pia ni nani kwako, tutakushauri nini? unabakia tu kusema unampenda sana, naye amekutenda sana, na kumwacha unashindwa. Naona utoto unakusumbua ukikua utaacha.
 
Ni jambo la kuamua tu. Kupenda na kutopenda ni maamuzi, believe me. Unaweza kuchukua muda kuacha kumpenda but kama umedhamiria it will happen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom