Ushauri wa haraka wakuu

jini mahaba huyo amekuingia
 
Tega simu itoe mlio na upokee kisha uongee huku umepagawa kana kwamba kuna msiba nyumbani au kuna dharura kubwa sana. Baada ya hapo utajua umwambie ni nini kimetokea. Kisha jifanye upo stressed sana na huwezi tena hata kugegeda. Hapo atakuliwaza na kuamini hali hiyo imetokana na hiyo taarifa.
 
Mkuu vipi Mrejesho uliendelea na safari ya Iringa au Uliamua kutumia vidole na Mdomo.... Hahahahahahahahahahaha Muulize Kabila gani

Hahahahahah
 
Asante mkuu, niliitumia hii mbinu vyema kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…