Naomba unielekeze Zaidi Hii ndo kwanza nasikia leo Ndugu... kuhusu kitu chenye ncha kali(sindano nk)mkague huyo dada kama ameweka kitu chenye ncha kali kichwani mfano sindano au toothspick jifanye unachezea nywele kichomoe faster
HahahaaaaaaaaaaaaaaNije kukusaidia mkuu...wala sitomfanya sana itakuwa kama ule mchezo wa kula mbakishie baba