Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
Ila shule si zimefunguliwa au bado hawajanyang'anywa simù?Sa swali gani hili
Ila shule si zimefunguliwa au bado hawajanyang'anywa simù?Sa swali gani hili
Hii changamoto imeanza jana usikuMwambie akurudishie halafu umuulize alikuwa na maana gani?
We jamaa unajikutaga unajua sana,acha hizo babuIla shule si zimefunguliwa au bado hawajanyang'anywa simù?
Nahisi atakaua aliificha kwenye begi la nguo huyoIla shule si zimefunguliwa au bado hawajanyang'anywa simù?
Sema unayumba kama kvp mtumie bi mkubwa wako hiyo hela kama unaona kukaa nayo ww sio fear au mtumie hata ndg yako
Nasubiri adaShule zimefunguliwa wewe bado upo jamiiforums
Sure kaka,waoaji wa sasa tunapitia wakati mgumu sana kupata wake boraMwanamke wa aina hiyo mwangalie mara mbilimbili siyo wa kispotspot
[emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi atakaua aliificha kwenye begi la nguo huyo
Kwani wazazi wamekwambiaje kuhusu ada?