Suleiman hatibu
Member
- Dec 22, 2017
- 54
- 24
Nina mke lakini nina kidum changu ambacho kinaniliwaza haswa
Jana tulitofautiana kidogo kwa kupishana kiswahili,leo hii kwa hasira zangu nimerudi hom pasipo kumtembelea nyumbani kwake, kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane
Kwa kweli akili yangu haikubali kumuacha maana huduma yake ananipa free na ana heshima na mie
Najua hapa ni eneo ambalo ukikwama unaweza pata uahau