Pamoja na yote, Kukosea kupo, ila kaka yako inatakiwa umuombe msamaha, yaishe na shamba lake muachie, Nenda mahali pengine kama ipo ipo tu ndugu, Wala usiipe akili yako wasiwasi ndio maisha yalivyo.. hata huyo kaka yako kuna alishawai kukosea hajafika tu alipo bila kukosea, Cha muhim jifunza kutokana na makosa yaliyojitokeza na muda ulipoteza huko shambani, Next time muda tumia kufanya shughul zako hata kama ni elf moja ila ni ya kwako, unakua na uamuzi wa kuipangia hio elf moja kitu cha kufanya nayo, tofauti na ya mtu