Hapa ndipo umeeleza ukweli.Siwezi kabisa kwa saiz nimejifunza kitu tatizo tamaa za ujanani zinatutesa
Kaka yako ana Rohoo mbayaa sanaa anachotaka wewe uendelee kuwa mtumwa wakee..!! Inaumiza sana kama ni kwelii....[emoji848][emoji848]Shamba ni langu pia nilikuwa nasimamia mashamba yake
Sasa ulitaka amwambie ili iwejee??? Kwani huyu jamaa kaka ake kamwambia mali zote alizonazo!??Kwa Nini ulimficha hilo jambo kaka yako Na lengo lako lilikua ni nini ?
Pole sana. Kwakuwa umeonesha kujutia, umefungua njiaKwenye hili siwez kuongea uongo kwasababu nipo hapa kujifunza kupitia ushaur wenu
Kweli hakutakiwa kukupokonya shamba lako...!! Hizo ni jitahada zako cha muhimu angekusisitiza kuwa usiache kuangalia mali zake pia sababu una zako tena ili bidi afurahie umejiongezaa...ajabu sanaNimeumia sana hata kama nilifanya makosa
Sawa!Shamba ni langu pia nilikuwa nasimamia mashamba yake
Kazi zake nilifanya kwa ufanisi wa hali ya juu sanaKweli hakutakiwa kukupokonya shamba lako...!! Hizo ni jitahada zako cha muhimu angekusisitiza kuwa usiache kuangalia mali zake pia sababu una zako tena ili bidi afurahie umejiongezaa...ajabu sana
Na kama hujawahi muibia mali zake daah ni shida sana...!!Kazi zake nilifanya kwa ufanisi wa hali ya juu sana
Mimi katika hili niliitaji msamaha wake shamba mimi siliitaji kwa sababu mimi tayari nisha hesabia maumivu haraka zangu ndo zimeniponzaSawa!
Hapo kuna mawili, kwanza tafuta usuluhishi wa pande mbili ili muweze kumaliza tofauti zenu. Sioni kama hilo likishindikana. Tafuta ndugu katika familia ikiwezekana na watu wengine wa karibu wenye ushawishi. Hili linahitaji muda lakini ukilifanya kwa utulivu na umakini linaweza kukupatia ufumbuzi wa hilo suala lako.
Jambo la pili ni endapo hilo la kwanza litashindikana;
Kama unalihitaji shamba lako basi tafuta msaada wa kisheria kama kweli hilo shamba ni lako na una vitu vinavyoweza kuthibitisha hilo.
Bro wako ame over react tu kama kazi zake zinaenda poa kwanini akukunjie namna hiyo kwanza alitakiwa akupongeze kimya kimya kwa kuona kumbe unajiongeza na unatamani cku moja uwe na vyako na si kumtegemea tu yeye any way pole mkuu shamba la viazi acre moja si haba ulikua unaenda kutoboa kama mambo yangeenda poa ila ndio hvo tenaMimi katika hili niliitaji msamaha wake shamba mimi siliitaji kwa sababu mimi tayari nisha hesabia maumivu haraka zangu ndo zimeniponza
Kama ni hivyo fanya hilo la kwanza. Tumia muda wako, kuwa muwazi, tafuta usuluhishi wa pande mbili ili muweke mambo sawa.Mimi katika hili niliitaji msamaha wake shamba mimi siliitaji kwa sababu mimi tayari nisha hesabia maumivu haraka zangu ndo zimeniponza
Kwa hesabu zangu nilishatoboa nilishapanga kijitegemea katika maisha yangu na kuondokana na mawazo ya kusubiri ajilaBro wako ame over react tu kama kazi zake zinaenda poa kwanini akukunjie namna hiyo kwanza alitakiwa akupongeze kimya kimya kwa kuona kumbe unajiongeza na unatamani cku moja uwe na vyako na si kumtegemea tu yeye any way pole mkuu shamba la viazi acre moja si haba ulikua unaenda kutoboa kama mambo yangeenda poa ila ndio hvo tena
Nishafanya mambo makubwa katika miradi yake nishamsaidia katika biashara zake hata kama ni maneno ya watu mimi ni binadamu kukosea katika maisha kupoKama ni hivyo fanya hilo la kwanza. Tumia muda wako, kuwa muwazi, tafuta usuluhishi wa pande mbili ili muweke mambo sawa.
Inaonekana huyo ndugu yako ni mtu mwenye kinyongo sana. Au pengine kuna zaidi ya hili tulijualo, maana kuna mtu mwingine unaweza kumkosea kwa jambo fulani kisha akakuadhibu kwa jambo hilo na mengine yaliyopita.