Mfagio
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 703
- 877
Mimi ni kijana wa miaka 25 nilikuwa nakaa kwa kaka yangu ambaye nilikuwa na msaidia sana kazi za shamba na nyumbani, tatizo likaja mimi nililima shamba kama ekari 1 bila kumwambia sasa ajakugundua baada ya kukundua kanyangasha langu pia sikatai kuwa rasilimali zingine nilikuwa na chukua shambani kwake baada ya hapo ukatokea ugomvi na kwake kanitimua.
Naomba ushauri, nini nifanye?
Naomba ushauri, nini nifanye?