Ushauri wa haraka unahitajika

Kwa upande wangu binafsi kama ningekuwa mdogo wake John(na nikagundua ukweli) ningempotezea tu demu,hata kama nikiamua kumuoa sitakuwa na amani na ndoa yangu wala sitakuwa na amani na kaka yangu damu nzito kuliko maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke alichofanya siyo sahihi kabisa...

Angeanzisha mahusiano sehemu nyingine, siyo mdogo wa aliyemkataa...


Duniani vitu vinavyoleta chuki, uhasama na vita ni pesa na mapenzi (wanawake)



Cc: mahondaw

kama wote wanataka amani wampotezee huyo mrembo..... mkuu
Michango hii ya wanaume inanipa picha halisi ya nini anapaswa kufanya. Shukrani wakuu.
 
Ahusishwe ndio si ni Mme wake ana vuruga mahusiano ya wengine
Ili na yao yavurugike!! Sidhani kama hiyo itakua hatua nzuri maana kuvuruga ndoa/familia ya mtu sio jambo dogo!!
 
Hahahaaaa!! Hebu itafute mama maana nahisi kucheka kabla sijaisoma.
 
Kuna kaukweli ktk hilo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…