Ajikaze amuache, wale ni ndg na amemlea km baba yake, hiyo ndoa itakuwa ni kelele kila sikuMawazo kama yangu, sema bibie kishakolea sasa kuachia ngazi anaona noma.
hahaha alinitumia 20000/= nilichofanya nikajiongeza !nikaenda fanya PADICURE tu ikaisha !nasubiria mwezi huu mwishOn nione itasoma digits ngap !tutaenda sawa tu !
Niliwahi kukutana na hicho kisanga, afanye km ametoa sadaka hilo penzi lake, yaani amuache mdogo wake john na asimwambie kitu chochote atapata bwana mwingine wa kumuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli, maana kuwa na shemeji mwenye gubu nayo yataka moyo.Ajikaze amuache, wale ni ndg na amemlea km baba yake, hiyo ndoa itakuwa ni kelele kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na viben ten vyenu.hahhaah nalendwa nanyupu ni mtoto hatar ! nimempita 22yrs ! si namzaa huyu asbh tu jaman ! alivyo hb sasa yaan nipo tayar kugombana humu jaman ! ana height tunayoiota wengi !umri si shida bwana wee ! sema nataman kuanza kudress kitoto hahhaa niende naye sawa ! natafta taste za nguo nione naendana nazo?? hehehhehehe sivai tena manguo ya kinigeria kunikuza hivyo nataka !
Unaripuka ki mahaba siwez kufa maana mbiti anajua kutulizaSasa moyo ukilipuka itakuwaje bwana shemeji!! Si utamkosa sasa!!
Yaani ktk list yoote ile akatoa buku20!! Labda ulimstukiza, ngoja tusubiri tuone maajabu ya shemeji.
Huu ni uchochezYale maziwa ya nido makubwa na ada za wanetu alishalipa?
Hawa viumbe huwa hawaridhiki, wanataka kumiliki hadi visivyo vyao. Yaani kama hawezi kuwa nae basi na dogo pia asiwe nae!!! Ubinafsi wa hali ya juu.Espy huyu kaka mtu Ndo mwenye Gubu, kama ana mke tayari kwa nini asiache waendelee?
Ukisikia tamaa ndo hii sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na viben ten vyenu.
hahhaah nalendwa nanyupu ni mtoto hatar ! nimempita 22yrs ! si namzaa huyu asbh tu jaman ! alivyo hb sasa yaan nipo tayar kugombana humu jaman ! ana height tunayoiota wengi !umri si shida bwana wee ! sema nataman kuanza kudress kitoto hahhaa niende naye sawa ! natafta taste za nguo nione naendana nazo?? hehehhehehe sivai tena manguo ya kinigeria kunikuza hivyo nataka !