Ushauri wa haraka unahitajika

Hahah!, tunajifunza kuongeza elimu dunia...lol
 
Mwenza yamekuwa hayo!! Tafadhali sana bado nakupenda sana, yule mume peke yangu simuwezi.
Mwenza majukumu yalivyobana....we tumbua nae tu kwa muda ambao haujulikani.
Nikirudi mme wetu atakuwa wangu for 4 weeks.
Ila mume mwenyewe anachepuka....nilimbamba mtaa wa saba anachepuka
 
Mwenza majukumu yalivyobana....we tumbua nae tu kwa muda ambao haujulikani.
Nikirudi mme wetu atakuwa wangu for 4 weeks.
Ila mume mwenyewe anachepuka....nilimbamba mtaa wa saba anachepuka
Nitumbue nae kwani yupo sasa!! Sijui hata yupo kwa mchepuko gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…