Ushauri wa haraka unahitajika

Amueleze dogo MTU ukweli kama yeye alivyoelezwa ukweli

invest what you are willing to lose
Unajua ukishatuhumiwa alafu ukajielezea, kuaminiwa inakuwa ngumu. Utaonekana kama unajitetea tu!!
 
Ushauri rahisi sana ....hapo huyo jackie amwambie John kuwa kama ataendelea na figisu figisu ana akamwalibia penzi lake basi naye ata mwalibia kwa mkewe yaani akimwaga mboga naye amwage ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jackie hao ndugu kakutana nao tu accidentally hakuzaliwa wala kukua nao toka utotoni.

Mwambie atafute namna aidha amchane dogo aache mazoea fasta au atafute mwanamme wa kuzuga naye ili dogo aamini kwamba yeye ni malaya na huyu jamaa sijui John atulie na mke wake aache wenge.

Kisha Jackie achukue 50 zake hapo hata akilazimisha kumpenda dogo mitafaruko na hilo kovu halitafutika.
 
Aunt espy hi
miss u mnooo babu Daby hajambo.



Mi naona mdogo mtu aambiwe ukweli maisha mengine yaendelee ukizingatia kaka yke ana mke....awaachie penzi laooo
Mamy sijambo
Tumepata mkwe ama! Naona picha za wanaume hazituishii
 
Ushauri rahisi sana ....hapo huyo jackie amwambie John kuwa kama ataendelea na figisu figisu ana akamwalibia penzi lake basi naye ata mwalibia kwa mkewe yaani akimwaga mboga naye amwage ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh!! Dont you think hiyo itaongeza petroli kwenye maji(uadui wa kudumu)
 
Nitumie hela.
 
Hata mimi ninaona kuachana is the best option kwakweli. Hizi bifu za ndugu sio kabisa.
 
Duuuuh!! Dont you think hiyo itaongeza petroli kwenye maji(uadui wa kudumu)
Hiyo John ni mpuuzi sasa huwezi lea upuuzi kwa kumwacha tu aendele na upuuzi wake, kwanza haeshimu ndoa yake, pili hajali furaha ya wenzake, dawa ya mpuuzi ni kumpa anacho staili....maana hata akisema amwache huyo mdogo wake John sio ndo mwisho wa kumtaka na pia kama ana weza kumwalibia mdogo wake vipi watu asio wajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You do make sense kwakweli, ila kwa mdogowe anajua ana nguvu ndio maana kapata ujasiri wa kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…