Wakachunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mwanafunzi hafai kwakweli,kwakweli wasukuma kuwafundisha inahitaji kipaji. Nalendwa mchukue msukuma mwenzio mkapike michembe tu kwakweli.
Eti mvuta bangi wako!!
Yaani nafikiria sijui mebeba visosi sijui na vigoda yaani nitacheka hadi zoezi lihairishwe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nimecheka eti hivyo visosi ndo utacheka mpk upaliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwakweli nitacheka sana, tajikuta naharibu badala ya kutengeneza.
Hahahaaaaaaa!! Hata mimi siachi[emoji85] [emoji85] [emoji85]hahaha aliwah niambia pm mbiti nishauri yoooooooote lakini sio mmea !siwez uacha mzuri sana ndo umenifanya nikastick had leo ! nilikua nahis maluweluwe tu hahah !ila ni mdada poa sana !
Hahah!, kwa kweli. Kama mambo yenyewe haya, tukapike michembe tu...lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa!! Hata mimi siachi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Stress mbaya unaweza zeeka kbl ya 30, km mmea unamfanya afurahi basi nimembarikihahaha aliwah niambia pm mbiti nishauri yoooooooote lakini sio mmea !siwez uacha mzuri sana ndo umenifanya nikastick had leo ! nilikua nahis maluweluwe tu hahah !ila ni mdada poa sana !
hahah hicho chakula jaman mie kilishanishinda jamen ! yan jaman uwiii ! last week nilikua kwenye familia ya wasukuma wakapika mchana na karanga za kukaanga ! hebu imagne jaman ! na nisivyoweza kushinda njaa nilichukua maharage tu ! dah mchembe haapana
Huku unammasage mapajaHahaha!, na bado hapo hujaambiwa unatakiwa kumwangalia usoni...lol!
Saa nikimwangalia si ndio tacheka hadi nianguke!!
Wasukuma mnajijua wenyewe na mapishi yenu, hayo madude sijawahi kuyaelewa kwakweli. Acha tu na visosi viwashinde[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]hahah hicho chakula jaman mie kilishanishinda jamen ! yan jaman uwiii ! last week nilikua kwenye familia ya wasukuma wakapika mchana na karanga za kukaanga ! hebu imagne jaman ! na nisivyoweza kushinda njaa nilichukua maharage tu ! dah mchembe haapana
Wasukuma mnajijua wenyewe na mapidhi yenu, hayo madude sijawahi kuyaelewa kwakweli. Acha tu na visosi viwashinde[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]