Ushauri wa haraka sana unaitajika.

Ushauri wa haraka sana unaitajika.

Wakuu naomba mawazo yenu mi kijana na karibia miaka 29, ni mfanyakazi serikarini mshahara wangu ni 350000 kwa mwezi, ni muda sasa karibu miaka miwili sijapata mwenza nimejaribu kila njia lakini sijapata mwenza , nifanyeje wakuu nifanikiwe kwa ili , ubachelor umenishinda nikirudi kazini kazi zote nafanya mimi kupika mie,kufua mie kuchota maji mie kwa kweli nachoka sana nifanyeje wakuu kuepukana na taabu za ubachelor.
Mkuu ingia love connect utapata mke. Ila huo mshahara. .maisha yet mjini. .af u-plus mke doh
 
we BABU KIZEE mara hii umeshapandishiwa mshahara wa kazi yako ya ulinzi? (alisema kipato chake ni elfu 30 kwenye jukwaa la biashara)
 
Last edited by a moderator:
kuna marupu rupu yoyote unayopata ukiacha mshahara wako? najaribu kufikiria ushauri wa haraka wa kukupatia.
 
Mkuu utakuwa na matatizo mdomo zege cku.utasikia wanaulizia wewe umeoa au we we ukutaninao?
 
posho ya 300,000 kwa wabunge haitoshi lakin 350,000 kwa mwez eti itamtosha.
rudi kijijin utafute mke huko wamejaa tele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom