BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu naomba mawazo yenu mi kijana na karibia miaka 29, ni mfanyakazi serikarini mshahara wangu ni 350000 kwa mwezi, ni muda sasa karibu miaka miwili sijapata mwenza nimejaribu kila njia lakini sijapata mwenza , nifanyeje wakuu nifanikiwe kwa ili , ubachelor umenishinda nikirudi kazini kazi zote nafanya mimi kupika mie,kufua mie kuchota maji mie kwa kweli nachoka sana nifanyeje wakuu kuepukana na taabu za ubachelor.