Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Huyo dada YEHODAYA hayuko sawa upstairs. Bado ana athari kubwa za kutimuliwa CHADEMA.
Kumbe ni dada?!, mimi nawapendaga sana watu wa aina hii wenye matatizo, kwa sababu specialization yangu ni kutatua matatizo ya watu, nitampataje nimsaidie?. Kama anataka kupiga pesa msibani, basi tatizo lake kubwa nimeishalijua na liko ndani ya uwezo wangu!.

P.
 
Muombe urafiki huko PM. YEHODAYA unaitwa hapa usaidiwe.
 
Jamani, nini sasa hii, watu mnajitoa ufaham, matusi meengi.
Natoa pelo sana kwa wafiwa wahusika, wengine nyie aaah mtakuwa mnajifanya kuhuzunika huku mnaangalia wapi pa kupata moto na baridi.
Ila mnachonikera wachaga mnapenda kukaa sana na maiti. Mnaweza kukaa nayo wiki nzima, sijui kwa nini,
Apumzike kwa amani mzee wetu
 

Ninadhani Ndesamburo ni kati ya wale tunaowaita inborn leaders,kabla hajafanya kila mtu anamuona kama anafaa kuwa kiongozi.
 
Hotuba haziziki mtu mselewa na akina mayala na wengineo mnaojitia mna uchungu sana na kifo cha ndesamburo na mnakuja na mapendekezo kibao mnachangia shilingi ngapi Ili ndesamburo azikwe kwa heshima zote mnazopendekeza?
Mkuu Yehodaya, nimeelezwa wewe ni she!, kwanza pole kwa sababu una matatizo fulani bila kujijua!. Mtu sio ndugu yako, heshima na uwezo wake unajulikana, ndugu jamaa na marafiki zake wanafahamika na uwezo wao kiuchumi unajulikana, kitendo cha wewe kuja humu jf na kuanza kuhamasisha michanga ili Ndesa azikwe kwa heshima, ni kumdhalilisha na kuidhalilisha familia ya Ndesa, please stop hili la michango!.

Pili nimejitolea kukusaidia, hivyo nitakupandia in box tupange jinsi ya kukuona na nitakusaidia sana, kwa sababu nimesaidia wengi wenye matatizo kama yako.

RIP Ndesa Pesa.

Paskali
 
Tupo kwenye msiba mzito nyie Petro na Kiboko mnatukanana msibani? Shame !
 
cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Marehemu MAWAZO alikua tapeli??hii laana ya kaburi,sio bure hii.tusubiri tuu mkuu
 
Huyu alikuwa ni miongoni mwa watanzania wachache wenye uchungu na nchi yao na ambao hawakupenda kabisa hata rangi tu ya magamba. R.I.P our grandfather
 
Tutakutana MOSHI Paschal. Nimeumia sana aisee. Napanga safari fasta
 

Mchango wako wa mawazo umekaa KIUNAA UNAA Pasco, ila nakuacha kwa sasa kwani sio wakati mzuri wa kuleta majibishano ambayo wewe umelenga kuyaanzisha.
Naomba hata hiyo discount uliyokuwa unapewa pale Hotelini waisitishe kabisa.
 

Hii tabia ya uzushi na uchochezi ikiachwa kuendelea italeta maafa siku moja. @MODS chukueni hatua kwa hii ngurumbili.
 
cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Mkuu utapeli wake ulikuwa ni nini? Mbona ccm mna matatizo sana?
 
Mkuu misiba Ya wachaga na wajaluo huwezi kwenda tu kutungua kilio kama wasukuma kuwa rafiki yako mpendwa na ndugu yako na mheshimiwa wako kafa watakuona mjinga tu unachotakiwa kufanya unaenda na burungutu la pesa unakabidhi wafiwa ukishawapa ndio unatungua kilio kuwa marehehemu rafiki yako kafa kaacha pengo na utapata waliaji wa kukuunga mkono kibao. Misiba Ya wasukuma na makabila mengine ni tofauti. Nauliza tena Pascal Mayala na wakili Mselewa mnachangia shilingi ngapi? Maneno yenu Ya pole Na maskitiko hayawezi nunua sanda wala jeneza mnachangia shilingi Ngapi? Maneno matupu ya maskitiko hayachongi jeneza wala kununua sanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…