ushauri wa buree kwa applicants | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri wa buree kwa applicants

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mama dunia, Oct 3, 2012.

 1. m

  mama dunia JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hi wanajf, mie ni kati ya waajiri ambaye 2 weeks ago hivi nilitangaza kazi zoom, na ninavyojua pia humu zinakuwa posted too.yaani nimeamua tu kuwasaidia wadogo zangu au watz wenzangu kuhusu suala la kuomba kazi, yaani nimeshangaa sana na yafuatayo kwa waombaji hao ambapo nilipokea 500 applicants,

  1. Yaani mtu katika kale kabox kakuandika email haandiki kitu, ndo kwanza anaatach cv, certificates etc bila hata ya salutation/hiyo ni mbaya kwasababau inaonyesha uko poor saana kwenye communication, pia mwingine akiandika hata huelewi au mwingine anaandika cv attached tu, mwingine anaandika kiswahili wakat tangazo lilikuwa la kiingereza, mwingine unaweza hadi kughafirika ukisoma anakuwa kama mtoto wa mtaani kwa anavyoandika eti hi guys etc yaani siwezi kumaliza kuviandika vyote hapa.

  2. Mwingine anafoward emails...yaani chukulia mfano jana yake aliapply NBC leo anaapply NMB anafoward email ile ile ya NBC, sasa unashangaa hii barua ni ya huku ama vp,

  3. Mwingine anaomba kazi isiyo mhusu mfano umetangaza kazi ya uhasibu, yeye amesomea community development anaiomba hiyo kazi ya uhasibu jamani hapo inakuwaje?? Mwingine kazi inataka ujue program fulani ya computer ambayo ndo unakuwa unaitumia katika kazi/yaani ni must na katika tangazo imestate hivyo, lakini yeye haijui kabisa hiyo program na hiyo program hadi uimaste inaweza kuchukua miezi 6, sasa jamani hata kama unamchukua utasubiri asome kwanza ndo aanze hiyo kazi???au itabidi utafute msaidizi wake??

  4.Mwingine anaattach cheti cha kifo cha mzazi! jamani niliogopa sana mhh

  ni mengi ila ni hayo tu kwasasa, ngoja nifanye kazi,

  rgds
   
 2. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hiyo ya 4 umetia chumvi live
   
 3. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo?
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hyo ndio m4c kaka
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280

  Sio chumvi kaka. Huenda cheti cha kifo cha mzazi ambacho ni scanned na vyeti vingine vya shule viko ktk folder moja kwenye flsh disk, sasa katika haraka haraka za ku attach unakuta mwombaji ameattach cheti sicho. Huwa inatokea sana, usishangae. Tulio kazini muda mrefu tunalifahamu hilo.
   
 6. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mwingine ana attach cheti cha chekechea au nursery school lol
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hiyo namba ya mwisho.
  Huyo aliweka ili umwonee huruma kwa kuwa ana mzazi mmoja.lol
   
 8. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Chezea M4C wewe?
  Utaumia
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa angalizo
   
 10. MRISHO ALLY

  MRISHO ALLY Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni pupa ya kuitaka hiyo ajira.
  Watu hawana kazi na wanategemewa ni familia zao sasa inapotokea tu mtu ana haha kama nyuki aliyeona uwa zuri.
   
 11. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Bora umesema, kwani hata jinsi ya kupangilia CV watu wengi hawajui...ni vizuri kujirekebisha kwani siku moja nilikuwa na Mkurugenzi CV zilkuwa nyingi sana, anachambua aliangalia sana cover letter na CV baasi,
  kwa hiyo kuna watu wengi kama siyo wengi wetu KUNA MAMBO TUNAJITAHIDI KUYAFAHAMU SANA LAKINI HAYANA MSAADA KATIKA MAISHA YETU, Kwa mfano haya yafuatayo:
  1.Wewe ni mwanafunzi, mfanyakazi n.k umeamua kuingia gharama ya kununua simu ya bei ya juu ili uweze kujiunga na facebook, twitter n.k.....na kuchati kila siku, je huoni gharama isiyo ya lazima? unapoteza muda, pesa, lakini hakuna kipya kinachoweza kubadili maisha yako,

  2.lakini vipi kama ungeweza kutumia simu hiyo kuangalia vitu vya msingi, kwa mfano how to prepare reports, CV..n.k
  3.Vipi ukitumia Simu kwa ajili ya Deal za kukuongezea kipato kwa mfano unaweka vocha unauliza soko la bidhaa fulani eneo lingine? kuliko kutumia headphone masaa yoote eti wewe unamsikiliza mwanamziki fulani?
  4.Vipi ungetumia muda huu kama mwanafunzi ukasoma kuliko kuchati ukiwa darasani wakati lecture/mwalimu anafundisha? ulishajiuliza ni Future itakuwaje?

  CHEZEA UJANA FAINALI UZEENI.........

  TUWE NA DESTURI ZA KUJIFUNZA VITU VYA MUHIMU, TUSIENDEKEZE STAREHE SANA TAIFA LITABAKI NYUMA
   
 12. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  inshaalah,point taken
   
 13. A

  Agrodealer Senior Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii story inavutia japo ipo kimbea ila inafundishajeeeeeee. Mi mi niliwahi kutuma application siku moja bila hata kuedit
  title ya kazi mf Ref. ................................ bila kubadili nikatuma hivyo hivyo baadae nikawa naperuzz ile appl nikakuta ni commed japo nilichukua, niliona aibu na nilijisikitikia sana mana niligindua nipo raffff na tangu cku hiyo bora nicheleweshe ila nitoe kitu kizur
   
 14. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Thanks for constructive angalizo mdau mwajiri. Tutazingatia wakati tunaendelea kuapply. Mi binafsi naomba nijuze kama waweza nipatia ajira nimesoma Tax Administration hapa IFM
   
 15. amu

  amu JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  fainali uzeeni umenifurahisha hapo huo msemo naupendaje
   
 16. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  COMMUNICATION SKILLZ, moja ya masomo wanavyuo wengi wanayadharau, pia hatutumii internet ipasavyo ..good example, nilikua resign mahali nikawa sina uzoefu wa kudraft resignation letter, nikaingia google. Nilipata sample nyingi na zipo professional..GUYS Kama haujui kitu nenda GOOGLE ina majibu yote
   
 17. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hacha uoga wa maisha,siyo lazima kuajiliwa
   
 18. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mkuu ni kweli kuna nafasi niliomba sehemu,nilivyoipitia ile aplicatio na cv,mhh hata ningekuwa mimi ndio nachambua cv.nisingeichukua ile cv yangu.mara nyingi ni uharaka na pupa ndio sababu.
   
 19. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  CHEZEA UJANA FAINALI UZEENI.........

  TUWE NA DESTURI ZA KUJIFUNZA VITU VYA MUHIMU, TUSIENDEKEZE STAREHE SANA TAIFA LITABAKI NYUMA[/QUOTE]

  ndugu yangu von mo asante kwa ushauri wako mimi ni aplicants lakini nimekuwa makini sana na mambo kama hayo kazi zangu ni smart na ninaendelea kujifunza kupitia jf. Siku moja mambo yakiwa sawa nitatoa shukrn kwa wadau na mazwazo
   
Loading...