Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo.

1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina mifumo rahisi ya gear box na engine)

2. Toyota ist, Toyota Runx, Toyota allex, Toyota spacio, Toyota Rumion, toyota vitz. ( fuel economy, mifumo rahisi, mafundi na spare za kutosha.

Pia neno langu sio SHARIA nimetoa ushauri kulingana na uzoefu wangu especially kwa wale wenye VIPATO vya chini.

KAma unanunua mkononi kwa mtu KAA MBALI NA
Anything BMW, Anything AUDI, SUBARU, Baadhi ya MAZDA, BENZ.

Narudia kusema neno langu sio sharia ni ushauri kutokana na uzoefu kama una kipato cha kawaida na ungependa gari yako iongozane na wewe kila sehemu sio ipaki kama pambo

View attachment 3518522
Mapaka sasa kwa hata tanzania spare za mazda na benz ndio zinatusumbua .
Kwa mfano kama mazda spara ni burundi angalu ma zambia ila benz mombasa kenya au nairobi.
Hayi ndio magari ambayo spare ni shida kuipqta kwa wakati ila hayo ulotaka hapo juu ukizama ilalq na tandale kwa mtogole spare zipo bei chee.
Hivyo uache kutisha watu.i natumia vits nimenunua milioni 2 nikaenda kuzrusha hapo spare baadhi ya milioni pamoja na rangi mkono mmoja sa hivi mtu hata anipeilioni 10 siuzi
 
Vp kuhusu handling yake pamoja na speed hasa highway!!? Maana nna mpango wa kuagiza 1st gen Rav 4 manual gear
Ilikuwa stable sana na control nzuri niliipenda sana kwenye rough roads za mwasonga kigamboni, Speed ilikuwa poa sana dodoma dar kama upepo pick up ya gear ni chap sana
 
Mapaka sasa kwa hata tanzania spare za mazda na benz ndio zinatusumbua .
Kwa mfano kama mazda spara ni burundi angalu ma zambia ila benz mombasa kenya au nairobi.
Hayi ndio magari ambayo spare ni shida kuipqta kwa wakati ila hayo ulotaka hapo juu ukizama ilalq na tandale kwa mtogole spare zipo bei chee.
Hivyo uache kutisha watu.i natumia vits nimenunua milioni 2 nikaenda kuzrusha hapo spare baadhi ya milioni pamoja na rangi mkono mmoja sa hivi mtu hata anipeilioni 10 siuzi
Unasema natisha watu na unatumia Vitz niliyotaja hapo juu au mi ndo sikuelewi HEBU SOMA VIZURI UZI MKUU
 
Ilikuwa stable sana na control nzuri niliipenda sana kwenye rough roads za mwasonga kigamboni, Speed ilikuwa poa sana dodoma dar kama upepo pick up ya gear ni chap sana
Shukrani kiongozi. Itabidi nijiulize mwaka huu. RAV4 1st gen manual gear iko kwenye bucket list.
 
Back
Top Bottom