Acheni woga... Mbona li muvi ndo kama linaanza??
Ili nchi itoke hapa ilipo ni lazima haya ne mengine mengi tu yatokee...
Kukimbia si suluhisho!!
....akili zetu watanzania tunazijua wenyewe mkuu-eti akae kimya kisa kafukuzwa ccm wakati yeye ni mwanasiasa.
...uoga wetu wa kipuuzi namna hii ccm haitatoka kamwe madarakani...wataendelea kutudharau na kusema sisi ndio chama kikongwe zaidi Africa kinachotawala as if kuna la maana wamelifanya nchi hii..pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo huyo jamaa ndo tapeli namba moja wa haki za kuishi?ANA WAKATI MGUMU SANA MEMBE. UJUE HUYU JAMAA KUTOA ROHO YA MTU KWAKE NDIO KILELE CHA FURAHA YAKE. BADO HUJAMJUA TU HULKA YAKE? WEWE MTZ WA WAPI?
Naunga mkono hoja1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha
Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.
Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.
Na huu unaouita 'utamaduni' ndio mnaotaka kuueneza nchi nzima, kwa maslahi ya nani!Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,
Kwamba wewe hakuna anayekuweza!!!
Its over and out, ciao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jp OmugaAcheni woga... Mbona li muvi ndo kama linaanza??
Ili nchi itoke hapa ilipo ni lazima haya ne mengine mengi tu yatokee...
Kukimbia si suluhisho!!
Jp Omuga
Laiti kama watu wangeelewa ulichoandika hapa ingekuwa vizuri sana.
Itawezekana vipi kuwepo mabadiliko yoyote bila ya matukio kama hayaa kuwepo, na watu kuyatafutia utatuzi wake?
Tatizo letu ni hili moja tu: 'kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili'.
Ukisoma yanayoandikwa kwenye mada kama hii utagundua kwamba hatuna nia wala moyo wa kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili.
Tunasubiri tu muujiza utokee na kutuondolea matatizo hayo. Bila ya hivyo, tunaishi tu kwa kuyakubali yaendelee.
uko sawa kabisa1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha
Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.
Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.
Kwanini usimkaribije kile chama cha msajili was vyama na mahakama (cuf)karibu ACT kwa zito na ismail jusa
8. Ajiunge chadema..1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha
Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.
Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.
Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,