Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 322
- Thread starter
- #21
Mimi nilishawaambia wanangu ukweli kuwa, waangalie channel zingine kabisaaa kwenye news wasije sema uongo njeyan kwenye familia yetu ukikutwa unaangalia taarifa ya habari TBC unapewa likizo ya kutoshika remote control ya tv mwezi mzima,alafu mwanzo wao wa habari lazima waanze na taarifa ya chama cha wavua magamba hata kama kuna tukio muhimu la kijamii la kuanza nalo!