Haya ni maneno yako Pasco! Sikutegemea kukusoma hivi kwa vile nakufahamu labda kama umebadilika siku hizi mpaka unafikia kutaja mambo kama haya. Ila nakushukuru kwa ushauri wako wa jumla, ni kweli ni wakati muafaka kwa ZZK kujiondoa CDM maana kila kitu sasa kinaeleweka. Ni vizuri pia haya mambo yamalizwe ili tujadili mambo ya maana sasa ya Rasimu ya Katiba ambayo yana tija kitaifa kuliko haya ambayo ni binafsi sana kwa mtazamo wangu.Wanabodi,
Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.
Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.
Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.
Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.
Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.
Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.
Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.
Congratulations!.
Pasco.
Wanabodi,

mahakamani mbona kwa wote?kwani Lissu, Mnyika, Lema si hiyo hiyo mahakama ndo imewarejeshea heshima??otherwise wasingekuwepo katika ubunge wao kama wangeshindwa hukoTeh teh teh leo kweli ZZK anaponea mahakamani?Ama kweli nimeamini maneno ya wahenga kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho!
Chama chochote atakachoenda Zitto ataangaliwa kwa jicho la umakini sana,na sidhani kama kuna chama kitakachompokea mtu wa namna hiyo!!!Ccm wameshamtumia kama toilet paper hawana haja naye tena.Hata aliyesaini mkataba wa IPTL alihongwa gari na Wa malaysia akasaini mkatba wa 3bn kila mwezi kuwapa IPTL.Miafrika tunatia aibu sana yaani unahongwa kigari tuu unasaliti wananchi wote!!Shame Upon Zitto &CoWanabodi,
Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.
Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.
Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.
Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.
Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.
Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.
Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.
Congratulations!.
Pasco.
Siku zote Zitto alikuwa wapi kuumwaga huo ufisadi?alikua anauficha wa nini kama hana maslahi binafsi?hizo ni tabia za jinsia jinsiapasco usenge wako peleka taratibu......kwahyo hutaki zitto awaeleze wananchi ufisadi unaofnyika kweny hicho chama cha kiukanda!!funga mdomo wako,mh zitto sisi wananchi wako tunaomba umwage kila kitu hadharan utakuwa umejihakikishia kura zako,bila hata kupiga kampeni
udini na ukabila ndio hoja za wanaccm nje ya hamna hoja
Twendeni sasa tukajadili mambo mengine, umeme juu, na pia katiba inakuja! Tuache hizi mambo sasa, Utaifa kwanza!!