Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

emoji za kucheka hapa ndiyo mwake...sijui ziko wapi...
 
Kaswali kwa shekhe kipozeo..! Atakupa airtime ushukru rehema za Allah..![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sasa bonge wepesi anaupata wapi..! By default awezi kuwa mwepesi utaambulia kiharufu cha panya basi..!
 
Ni kweli kabisa, nakubaliana nawe kabisa...
 
mie nimepita kwenye ubonge ! jana nimepima am weigh 99.7kgs !alafu mfupi sasa, short chasis !namiminika hatar! wawez zimia ! we niache tu mkuu ! nina pingili 4 tumboni kama pipe
wadanganye hao hao....we kipotabo nakujua...........
 
Mi nawapenda wallah! hao wembamba itokee tuu ila mi nawapenda ma miss bantu
 
Asilimia kubwa ya watu wanodumu kwenye ndoa utakuta wanawake mabongee jiulize kwann endelea kula mifupa acha vibonge tujinafasi

Rais wa mabonge jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bonge wepesi anaupata wapi..! By default awezi kuwa mwepesi utaambulia kiharufu cha panya basi..!
Mkuu usijidanganye kuna mabonge ni wepesi kuliko udhanivyo halafu wasafi balaa ukizama chumvini ni kama unakula baga vile mimi nimewahi kutana nao kama 3 na wote ni hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…