Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Hii kampeni zidi ya mabonge naona inazidi kupamba moto siku hadi siku
 
Ishu sio mazoezi,kwanza wapunguze kulakula hovyo na bila kuwa na ratiba maalumu.elimu ya lishemlo ni changamoto kwa wengi.pa wajizoeshe kula vitu vya asili,machipsichipsi,minyama myekundu,vyakula vya mafuta,pamoja na vinywaji vya kusindika(soda,bia) ni vitu vya kuepuka ama kutumia kwa kiasi kidogo sana,sio lazima kila wiki ule kiepe au masoda.Na usiku hutakiwi kushindilia menyu ukashiba.ni hayo tu
 


Kama hupendi vitu za namna hii utakuwa na tatizo
 
Upo sawaa nishamwambia mchumba angu kuwa ajikute tuu ajaziane kama ntakuwa tayr nimemuoa basii ntakuwa namwacha ndanii ilaa kabla sijamwoa akinenepa ndoa lazma apungue ndo iwepo lasivyo hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndio vitu vyangu, mwanamke anatakiwa kuwa na zigo, paja kubwa. Sio mkikaa kitandani mnashindwa kujitofautisha nani mwanamme nani mwanamke kwasababu wote vimiguu vyembamba.
Hiloo paja kulinyanyua tyuu kazi na michirz jee sio hivyoo tyuu shimo linakuwa limejifichaa hata unapogegeda ni kama unadunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…