Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu

Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu

Uume kazi yake kubwa na ya kwanza ni kukojoa mkuu ndio maana unakojoa kila siku
 
Moja ya tatizo kubwa la binadamu ni kutaka watu wengine waishi kwa namna inayowapendeza. Anayependezwa na ulokole anataka wote tuwe walokole, malaya anataka wote tuwe Malaya n.k
WHAT IS WRONG WITH OUR SPECIES?
 
Nasikia Rais wa Nec amepishwa Jana ila Rais wa WanaNchi yuko kweny Hifadhi ya Kisiasa Ubalozi wa Marekani!

Ila yote kwa yote naunga Mkono Hoja ya mleza uzi... Pia naunga mkono Aiana yyte ya Maandamano ya Amani kwaajili ya kulikomboa taifa letu kutoka kwa Dikteta CCM
 
Acha uoga usio kuwa na maana mbona unaweza ukawa na the dem mmoja tu akawa wa gharama hivyo hivyo be a man
Kwa ithi Vana va buthangi kumiliki dem vingi ni hathara ja petha😂😂😂
 
Kiukweli kila mwanaume lazima awe na mwanamke zaidi ya mmoja tatizo uchumi unakuta nyumbani majukumu kibao kutoa is elfu tano kwa demu na watoto home unga umisha au Kodi ya nyumba ndiomana asilimia kubwa matajiri Wana wanawake kibao wanapiga kabao kamoja tuu sisi was kipato Cha chini tuna baki nako kamoja utakuta nako unakasugua kila siku mkuu Mimi nimekuelewa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi, najua kipato kinachangia ila jitahidi kwenye hata kipato kidogo unachopata utenge kadogo kwa ajili ya mwanamke mwingine. Hiyo ndio maana ya kua mwanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom