screentouch
Member
- Jun 11, 2014
- 91
- 45
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.
mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.
Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?
Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
Hatupingi kuanzishwa tunachopinga ni kutumia kodi zetu kuwalipa hao makadhi wenu na kuliweka suala hili kwenye katiba yetuhizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.
mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.
Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?
Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
Umeongea vizuri sana, na hapa ndiyo root causes ya tatizo lenyewe. Kwamba mahakama ya kadhi ni kwaajili ya waislamu tu. Kwamba wakiristu haiwahusu kabisa.
Sasa kama ni hivyo kwanini basi wakiristu na watu wengine wasiohusika na mahakama ya kadhi wagharamikie kuiendesha hiyo mahakama ambayo haiwahusu kabisa.
Mimi sina tatizo kama katiba itatambua uwepo wa mahakama ya kadhi. Lakini uendeshwaji wake na gharama zake uwe ni juu ya waislamu wenyewe.
Mpaka leo tunasikia malalamiko kutoka kwa waislamu wengi kwamba serikali iliwaundia BAKWATA. Kwanini tena leo mnataka serikali hiyo hiyo uwaundie MAHAKAMA YA KADHI?!
Hapa ndio kunapoleta mashaka makubwa
Hatupingi kuanzishwa tunachopinga ni kutumia kodi zetu kuwalipa hao makadhi wenu na kuliweka suala hili kwenye katiba yetu
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.
mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.
Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?
Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.

.
Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?
Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
Waislamu lengo lao kuu ni kuifanya Serikali yenyewe kuwa ya Kiislamu, kwa hiyo wakifanikiwa hilo hawatakuwa "wanaingiliwa na Serikali" kwa kuwa itakuwa ni ya kwao!Waisilamu nchini wamekuwa wakiilamu serikali kwamba imewaundia chombo ambacho ni BAKWATA, na kwamba hawakitaki kwa kuwa hakijaundwa na waisilamu. Waisilamu hao hao wanaitaka serikali iwaanzishie chombo kinachoitwa Mahakama ya Kadhi. Sasa hapa naona kuna ujinga fulani. Unalalamika serikali kuwaingilia kwa kuanzisha BAKWATA, halafu unalalamika kwa nini serikali haiwaingilii kwa kuwaanzishia Kadhi. Waisilamu wawe wazi basi, wanapenda kuingiliwa au kutoingiliwa na serikali?
My take:
Kwa kuwa waisilamu wameshalalamika sana kwa suala la 'kuundiwa BAKWATA', naishauri serikali isijiingize kabisa kujaribu kuwasaidia tena, kwani watakuja kuilaumu tena na tena serikali kwa kuwaingilia. Waisilamu wajipange, waanzishe Mahakama ya Kadhi, waiendeshe wenyewe, wahukumiane wenyewe na hata hukumu zikiwa mbaya, walaumiane wenyewe