Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,647
Mwanamke kukaa kimya hawezi hio inafahamika Ila Mwanaume ukimuona anaongea jua ameguswa sana yaan imepitiliza kiasiAibu mnoo
Mwanamke kukaa kimya hawezi hio inafahamika Ila Mwanaume ukimuona anaongea jua ameguswa sana yaan imepitiliza kiasiAibu mnoo
Ndio Mwanamke hawezi sasa kufanya nyinyi hamjaumbwa kunyamaza mnapenda kuongea muonewe huruma hata km nyinyi ndio mmekoseaKulikuwa hakuna haha hata ya kumuongelea Jana angetulia tu
MWAMBIE AELEWE.MAANA NAONA ANAANGALIA SHILINGI KWA UPANDE MMOJA WAKATI INA PANDE MBILIKukaa kimya siyo kwa Mwanamke tu kisa umevuliwa chupi...
Hata Mwanaume kukaa kimya ni salama sana na kunakuepusha mengi....
Kumbe dagaa la mwanza tamu lkn linawasha balaa hasa utapokutana na ule ugali unaofanana na lami ndio kama hivi😂😂Nusu ya hekima ni kunyamaza na kukaa kimya. Ipo nguvu Katika kunyamaza, kuepusha mambo mengine yapite. Wanawake wenzangu huwezi kushindana na mwanaume aliye kudonoa (aliekuvua nguo) ingawa haibakigi alama.
wanawake wenzangu tujifunze kunyamaza haswaa kukaa kimya napo ni jibu tena jibu baya haswaa maana unamuumiza mtu kisaikolojia hajui jinsi ya kukuattack tena kwa vile umemlia bati kwa kutokumjibu chochote kwa yale anayosema juu yako.
Nimesema haya kutokana na yanayoendelea kwa Kajala na Harmonize, ingawa hayanihusu ila tujifunze hili kupitia hawa.
Karibuni tule Ugali dagaa.
Hawa ni Wanyantuzu kabisa usipomnasa kibao haelewi ubongo wake umekaa vipi Mungu tusamehee😂Ongeeni yote lakani msiwe mnatwambia "NIPIGE KAMA KWELI WE MWANAUME".
Mbona mimi namwambia huyu Mtoto wa Mtu....akikasirika namwambiaga "Unataka kunipiga sasa..nipige niko hapa"[emoji1][emoji1][emoji1]Anacheka tu..Ongeeni yote lakani msiwe mnatwambia "NIPIGE KAMA KWELI WE MWANAUME".
Wambwaweee 🥸😂😂Mbona mimi namwambia huyu Mtoto wa Mtu....akikasirika namwambiaga "Unataka kunipiga sasa..nipige niko hapa"[emoji1][emoji1][emoji1]Anacheka tu..
😂😂 ila wanawake mna majaribu sana, kuna siku haina jina utajua ni masikhara kumbe mtu ana yake atakupiga na ndio utakuwa mwisho.Mbona mimi namwambia huyu Mtoto wa Mtu....akikasirika namwambiaga "Unataka kunipiga sasa..nipige niko hapa"[emoji1][emoji1][emoji1]Anacheka tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namtaniaga nikijua hawezi kufanya hivyo..[emoji23][emoji23] ila wanawake mna majaribu sana, kuna siku haina jina utajua ni masikhara kumbe mtu ana yake atakupiga na ndio utakuwa mwisho.
ila kuna muda unaangalia na mood yake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namtaniaga nikijua hawezi kufanya hivyo..
Kabisa..Simfanyii utani[emoji1]ila kuna muda unaangalia na mood yake?
utani ni mzuri unanogesha upendo sio mda wote mtu awe siriazi kama askari wa sudanKabisa..Simfanyii utani[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabisa kabisa..utani ni mzuri unanogesha upendo sio mda wote mtu awe siriazi kama askari wa sudan
Anahoja asikilizweNusu ya hekima ni kunyamaza na kukaa kimya. Ipo nguvu Katika kunyamaza, kuepusha mambo mengine yapite. Wanawake wenzangu huwezi kushindana na mwanaume aliye kudonoa (aliekuvua nguo) ingawa haibakigi alama.
wanawake wenzangu tujifunze kunyamaza haswaa kukaa kimya napo ni jibu tena jibu baya haswaa maana unamuumiza mtu kisaikolojia hajui jinsi ya kukuattack tena kwa vile umemlia bati kwa kutokumjibu chochote kwa yale anayosema juu yako.
Nimesema haya kutokana na yanayoendelea kwa Kajala na Harmonize, ingawa hayanihusu ila tujifunze hili kupitia hawa.
Karibuni tule Ugali dagaa.
Waulize watoa madauo ugali dagare vip
ndio nangoja majibuWaulize watoa mada