totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 370
- 1,111
Nusu ya hekima ni kunyamaza na kukaa kimya. Ipo nguvu Katika kunyamaza, kuepusha mambo mengine yapite. Wanawake wenzangu huwezi kushindana na mwanaume aliye kudonoa (aliekuvua nguo) ingawa haibakigi alama.
Wanawake wenzangu tujifunze kunyamaza haswaa kukaa kimya napo ni jibu tena jibu baya haswaa maana unamuumiza mtu kisaikolojia hajui jinsi ya kukuattack tena kwa vile umemlia bati kwa kutokumjibu chochote kwa yale anayosema juu yako.
Nimesema haya kutokana na yanayoendelea kwa Kajala na Harmonize, ingawa hayanihusu ila tujifunze hili kupitia hawa.
Karibuni tule Ugali dagaa.

hatari hiyo