BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
hakuna hiyo mimba ni yangu kabisa naona ana jaribu kumfariji huyo jamaa! Maana jamaa ana shida ya watoto! Sijui kwanini asiende kwenye vituo vya watoto yatima!
mzee chikwanche wa tandahimba vipi kakukamilishia mzigo? Mmalize tu huyu mbaya wako,hakuna kuchukua mateka.
katika huu mtanange which side are you? btw muda si mrefu nimemwona Asprin anaingia buibui gest kwa manyanya.
lakini rutta na wewe ulikuwa wapi mpaka mke anatiwa mimba na jirani?
huyo mzee namjua ni barrraaaa,yeye ndoa alimpa lusinde ubunge mtera,ukimchezea anakugeuza uso nyuma kisogo mbele.
BADILI TABIA ni mke wa ujana wangu.Nilidhani BT kakuwekea mtego kumbe hakuna!
Halafu naona kama Baba V kapewa mlungula....hebu ingilia kati mkuu.
tedo usione kimya, naendelea kuangalia kila kinachoenflea hapa na kesho ndo nakabidhiwa ripoti rasmi na alhamisi natoa tamko ambalo litaanza kutekelezwa mara baada ya tamko kutolewa.Hakuna aliye juu ya sheria na alhamisi watajua kuwa sheria zimewekwa ili zifuatwe,
Na tutaona sasa.
Acha mkwara wako mbuzi.
Hata mkiniachanisha na Hubby wangu,nitaendelea kukomaa nae.
Wivu tu.
Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke mwenyewe anakugeuza chumba cha gesti aingie atoke aingie atoke,mmwage bana wanawake kibao mjini.
Na kwa taarifa yako jana kaonekana hindu mandal sijui anaumwa nini. Kibaya zaidi mashoga zake kina Zinduna Kongosho King'asti BADILI TABIA gfsonwin sweetlady na Mamndenyi wanamharibu,kutwa kucha ni kusogoa tu kwenye simu na kupeana umbea,utapata mke kweli hapo?
Jamani Bishanga nyumba yako yaungua moto wewe umekalia kuzima kwa wenzio