Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hivi umepatwa na nini wife?
Nani mkeo hapa?
Hivi umepatwa na nini wife?
katika huu mtanange which side are you? btw muda si mrefu nimemwona Asprin anaingia buibui gest kwa manyanya.
Jamani Bishanga nyumba yako yaungua moto wewe umekalia kuzima kwa wenzio
Huyo ana cheza na Aspirin! Juzi nilimuona pale kwa machine akaniambia amekwenda kununua cement, kilicho nishangaza ilikuwa usiku!
Shem wajionaje na hali?
loh Ruttashobolwa, ndo maana Madame B amekukana...... Anyway Kwani cementi hainunuliwi usiku
buheri wa afya hofu na mashaka ni kwa uamuzi utakaotolewa
Ooooooh wife unaendeleaje?
mke wangu mpenzi si tulishayamaliza lakini? I love you!
Amri ya 9 inasemaje?
Usitamani 'mali' ya mke wa mwanaume mwenzako.
Na tutaona sasa.
Acha mkwara wako mbuzi.
Hata mkiniachanisha na Hubby wangu,nitaendelea kukomaa nae.
Wivu tu.