nick de brain
Member
- Mar 13, 2019
- 68
- 57
habarini za asubuhi, Natumia gari aina ya HONDA juzi imeniwashia taa ya kuashiria mafuta ya mepungua nikaongeza lakini mpaka sasa bado inawasha tu hiyo taa. Na tatizo jingine ni kama la mwenzangua hapo juu ila mm niweka D (DRIVE) nikikanyaga brake gari inakuwa ina vabrate Ila nikiweka P (parking) inatulia. Naomnbeni msaada