Ushauri wa Bure juu ya gari yako

popolon

Member
Jan 31, 2018
49
125
Mkuu kwanza asante kwa kujitolea muda wako kushare elimu yako na jamii. Gari yangu( corolla 5A ea100) kunamuda nikiweka switch on haswa engine ikiwa imepoa taa zote zinawaka katika dashboard na nikiwasha gari zinazima kama kawaida, ila nikishatembea nalo kidogo tu nikiweka tena switch on taa ya check engine haionekan katika dashboard na nikiwasha pia haionekani. Naomba ushauri wako
sawa ni mara ngapi imetokea hvyo je ukijaribu kuzima na kuweka switch on tena zinaonekana?
hii inaweza kusababishwa na loose wiring hannes ya dashbord lights
tafuta fundi umeme akusaidie kufuatilie system ya umeme kuna mahali haiko sawa
karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
257
250

Habari nina gari yangu rosa ni daladala tatizo lake ni kwenye matairi haifiki mwezi vipira vinatumbuka oil inavuja je wakuu nini tatizo? kwani saiv dereva huwa kila siku anaengeza oil ilopotea kesha choka kufungua tairi kubadirisha vipira ,je hapo tatizo lipo wapi au ni dereva mwenyewe uwendeshaki wake ni mbovu? Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joyomi

Member
Mar 2, 2019
6
45

Kuhusu kuisha kwa matairi, kuna uwezekano matairi yanajazwa upepo kuliko ilivyoshauriwa hivyo fatilia mahitaji ya tairi husika kwamba kiwango gani kinatakiwa, kwa kuongezea matairi yote inabidi yawe na upepo sawa, kuvuja kwa oil itakuwa pale chini ya injini unapomwagia oil kutakuwa kumelegea au inawezekana kuna sehemu ina leakage, hiyo nenda umwone fundi ... !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
1,857
2,000
Gari langu inasumbua ukiwasha AC kwa muda mrefu ukiwa kwenye jam inakuwa inazima ghafla, pia muda mwingine huwa kama inatetemeka then unasikia kama kwenye gearbox inagonga. Msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine inakuwa ngumu kusaidika coz hawataji aina ya gari wanalomiliki ikiwezekana na aina ya injini...
Unaweza ukapewa ushauri wa kutatua tatizo kwenye mazda kumbe unamiliki honda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
900
500
Hali yako Boss.Ahsante sana kujitoa kutuelimisha kwa tasnia hii ya magari.Naomba kufafanuliwa huu ya terminology ya magurudumu maana naona namba kwenye mzunguko wa tairi sielewi non ndo nn.ahsante
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
3,581
2,000
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.

Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
Miaka 10 iliyopita ukimaanisha gari za 2009 mkuu?

bado mpk leo tunaulizia kununua alteza,brevis,grande mark 2,cresta etc hahah

Hayo ya miaka 4 ilitopita yaani ya 2015 yatakua na uroda sana‭ mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,583
2,000
Miaka 10 iliyopita ukimaanisha gari za 2009 mkuu?

bado mpk leo tunaulizia kununua alteza,brevis,grande mark 2,cresta etc hahah

Hayo ya miaka 4 ilitopita yaani ya 2015 yatakua na uroda sana‭ mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Eeh mkuu sahivi gari za 2009 sindio watu wanatambia! Road huko, ile Crown mayai GRS200, Wish mayai AE20 na premio ZRT261.
Ukiiona Crown Athlete ya 2019 unaeza ukatokwa na kijasho chembamba kwa uchungu. Gari ni kali kinoma full comfort halafu ni hybrid synergy!
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,189
2,000
Gari ikichemsha:
Usikimbilie kuizima, iache ikae ikiunguruma then fungua boneti. Tafuta kitambaa kizito au kikubwa na maji safi mengi. Ukiwa umeshika kile kitambaa fungua Radiator valve taratibu (usiifungue kwa mara moja kuna mvuke unaweza kukuua) zungusha mpaka mwisho raditor valve then usiiitoe ila uwe unafanya kama kuinua na kurudisha chini taratibu (mantiki nzima ule mvuke upate nafasi ya kutoka).
Utakapoona hakuna mvuke unaotoka tena ndio ondoa sasa huo mfuniko, chukua maji yako uwe unamimina kwenye radiator usiogope kutokota baada ya muda yataacha (maji yawe mengi sio hizi chupa za lita 1).
Maji yakiacha tokota na yakawa yamejaa basi funga mfuniko wako na hakikisha boneti imejilock ndio ondoa gari!.
NB: Gari ikichemsha usikimbilie kuizima!.
kama ukiizima italeta tatizo gani chief?
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,189
2,000
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.

Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,360
2,000
kama ukiizima italeta tatizo gani chief?
Kwa kawaida rejeta haitakiwi kuwa na maji machache inahitaji kuwa imejaa muda wote wa kazi zake, yakipungua ndio taa inawaka na engine inachemka sababu ya joto kuzidi.
sasa na wewe kuizima ghafla worst case scenario ni kuharibu vifaa ndani ya engine kama gasket na piston hivi vinaweza pelekea kuchanganyika kwa oil na maji.
 
Joyomi

Member
Mar 2, 2019
6
45
Sabuni gani ni nzuri za kuoshea gari, na baada ya kuosha gari nini cha kupaka ili gari na taa zing'ae na gari liwe lina muknekano mzuri lisipauke?
 
Top Bottom