johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,131
Uko sawa, maana kuna viongozi wengine wko kwenye lile kundi lililosemwa na Waziri dodomaPamekuwepo na utaratibu usio rasmi ambapo ama katika nyumba za Ibada au ofisi za viongozi wa dini kupeperushwa bendera ya taifa. Utakuta ofisini kwa mchungaji au sheikh mezani kwake kuna bendera ya taifa inapepea kama ilivyo kwa viongozi wa serikali. Na katika baadhi ya makanisa utakuta bendera ya taifa inapepea pale madhabahuni. Sasa mada yangu ni kuishauri tu serikali iweke utaratibu mzuri kwa wote wanaopeperusha bendera ya taifa wakiwemo viongozi wa dini kuwa " kioo" cha maadili mema mbele ya jamii. Haiwezekani kukuta kiongozi wa dini aliyepungukiwa maadili na jamii inamuelewa hivyo akipeperusha bendera yetu ya taifa na sisi tukakaa kimya, tumnyang' anye! Ni hayo tu, asubuhi njema!
Mkuu hapa tunazungumzia viongozi wa dini katika ujumla waoNaona Sheikh mzimu ushaanza kumuandama.
Kundi lipi hilo mkuu?!Uko sawa, maana kuna viongozi wengine wko kwenye lile kundi lililosemwa na Waziri dodoma
Yule Tito ana matatizo ya akili sidhani hata kama rangi za bendera ya taifa anazijua?Tuanze na hawa wawili
Nabii Tito na shekh Alhadi
Tuanze na hawa wawili
Nabii Tito na shekh Alhadi
Yule Tito ana matatizo ya akili sidhani hata kama rangi za bendera ya taifa anazijua?
Wapi nimemzungumzia " huyo " sheikh?!!Very funny...
Kwavile Mange kasema sheikh yule hana maadili, leo kwako unamuona yupo sahihi
Lakini Mange huyo huyo akisema Magu na Bashite wanabashiana sawa na tuhuma zile zile dhidi ya sheikh; unamuona Mange muongo!!!!
Waswahili wanasema "Fumbo mfumbe mjinga...!"Wapi nimemzungumzia " huyo " sheikh?!!
Kwa maoni na akili yako inaonekan kila kiongozi wa dini anayeonekana kutokuwa upande wa upinzani basi huyo hana maadili. Pengine Ingeleta maana zaidi kama ungeweka wazi baadhi ya viongozi wa dini ambao unapenda wapeperushe hadi bendera ya taifa kwenye magari yao kama Kakobe and the like. Vinginevyo wazo lako ni la kipumbavu sana kwa sababu hiyo serikali unayoipa hiyo assignment ya kuchuja wenye maadili vs wasiokuwa nayo itatumia kipimo gani katika hili? Ni wazo la kipumbavu kutolewa na mtu wa aina hiyo hiyo.Pamekuwepo na utaratibu usio rasmi ambapo ama katika nyumba za Ibada au ofisi za viongozi wa dini kupeperushwa bendera ya taifa. Utakuta ofisini kwa mchungaji au sheikh mezani kwake kuna bendera ya taifa inapepea kama ilivyo kwa viongozi wa serikali. Na katika baadhi ya makanisa utakuta bendera ya taifa inapepea pale madhabahuni. Sasa mada yangu ni kuishauri tu serikali iweke utaratibu mzuri kwa wote wanaopeperusha bendera ya taifa wakiwemo viongozi wa dini kuwa " kioo" cha maadili mema mbele ya jamii. Haiwezekani kukuta kiongozi wa dini aliyepungukiwa maadili na jamii inamuelewa hivyo akipeperusha bendera yetu ya taifa na sisi tukakaa kimya, tumnyang' anye! Ni hayo tu, asubuhi njema!
Mleta mada ni mwana CCM kufa. Usifikiri ni mpinzani. Wewe ni mgeni humu JF...Kwa maoni na akili yako inaonekan kila kiongozi wa dini anayeonekana kutokuwa upande wa upinzani basi huyo hana maadili. Pengine Ingeleta maana zaidi kama ungeweka wazi baadhi ya viongozi wa dini ambao unapenda wapeperushe hadi bendera ya taifa kwenye magari yao kama Kakobe and the like. Vinginevyo wazo lako ni la kipumbavu sana kwa sababu hiyo serikali unayoipa hiyo assignment ya kuchuja wenye maadili vs wasiokuwa nayo itatumia kipimo gani katika hili? Ni wazo la kipumbavu kutolewa na mtu wa aina hiyo hiyo.
Usichanganye mada,hapa linaongelewa viongozi wa diniVery funny...
Kwavile Mange kasema sheikh yule hana maadili, leo kwako unamuona yupo sahihi
Lakini Mange huyo huyo akisema Magu na Bashite wanabashiana sawa na tuhuma zile zile dhidi ya sheikh; unamuona Mange muongo!!!!
Wewe ni mbwiga kwani nabii Tito yuko CCM?........ Kwa akili yako hii utakuwa mke wa 4 tu si bure!Kwa maoni na akili yako inaonekan kila kiongozi wa dini anayeonekana kutokuwa upande wa upinzani basi huyo hana maadili. Pengine Ingeleta maana zaidi kama ungeweka wazi baadhi ya viongozi wa dini ambao unapenda wapeperushe hadi bendera ya taifa kwenye magari yao kama Kakobe and the like. Vinginevyo wazo lako ni la kipumbavu sana kwa sababu hiyo serikali unayoipa hiyo assignment ya kuchuja wenye maadili vs wasiokuwa nayo itatumia kipimo gani katika hili? Ni wazo la kipumbavu kutolewa na mtu wa aina hiyo hiyo.