Ushauri: Viongozi wa dini wasio na maadili mema wasiruhusiwe kupeperusha bendera ya taifa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,539
Pamekuwepo na utaratibu usio rasmi ambapo ama katika nyumba za Ibada au ofisi za viongozi wa dini kupeperushwa bendera ya taifa. Utakuta ofisini kwa mchungaji au sheikh mezani kwake kuna bendera ya taifa inapepea kama ilivyo kwa viongozi wa serikali. Na katika baadhi ya makanisa utakuta bendera ya taifa inapepea pale madhabahuni. Sasa mada yangu ni kuishauri tu serikali iweke utaratibu mzuri kwa wote wanaopeperusha bendera ya taifa wakiwemo viongozi wa dini kuwa " kioo" cha maadili mema mbele ya jamii. Haiwezekani kukuta kiongozi wa dini aliyepungukiwa maadili na jamii inamuelewa hivyo akipeperusha bendera yetu ya taifa na sisi tukakaa kimya, tumnyang' anye! Ni hayo tu, asubuhi njema!
 
Uko sawa, maana kuna viongozi wengine wko kwenye lile kundi lililosemwa na Waziri dodoma
 
Tuanze na hawa wawili
Nabii Tito na shekh Alhadi
Yule Tito ana matatizo ya akili sidhani hata kama rangi za bendera ya taifa anazijua?

Very funny...

Kwavile Mange kasema sheikh yule hana maadili, leo kwako unamuona yupo sahihi

Lakini Mange huyo huyo akisema Magu na Bashite wanabashiana sawa na tuhuma zile zile dhidi ya sheikh; unamuona Mange muongo!!!!
 
Wapi nimemzungumzia " huyo " sheikh?!!
 
Imetosha sasa tufanye na mengine,
Tunaanza kunekana wambea na siyo great thinkers japo najua kibongobongo ugreat thinker ni kujadili ya wengine tena siyo kwa lengo la kutafuta suruhu ila tu kuonekana unajua
 
Pamekuwepo na utaratibu usio rasmi ambapo ama katika nyumba za Ibada au ofisi za viongozi wa dini kupeperushwa bendera ya taifa. Utakuta ofisini kwa mchungaji au sheikh mezani kwake kuna bendera ya taifa inapepea kama ilivyo kwa viongozi wa serikali. Na katika baadhi ya makanisa utakuta bendera ya taifa inapepea pale madhabahuni. Sasa mada yangu ni kuishauri tu serikali iweke utaratibu mzuri kwa wote wanaopeperusha bendera ya taifa wakiwemo viongozi wa dini kuwa " kioo" cha maadili mema mbele ya jamii. Haiwezekani kukuta kiongozi wa dini aliyepungukiwa maadili na jamii inamuelewa hivyo akipeperusha bendera yetu ya taifa na sisi tukakaa kimya, tumnyang' anye! Ni hayo tu, asubuhi njema!
Kwa maoni na akili yako inaonekan kila kiongozi wa dini anayeonekana kutokuwa upande wa upinzani basi huyo hana maadili. Pengine Ingeleta maana zaidi kama ungeweka wazi baadhi ya viongozi wa dini ambao unapenda wapeperushe hadi bendera ya taifa kwenye magari yao kama Kakobe and the like. Vinginevyo wazo lako ni la kipumbavu sana kwa sababu hiyo serikali unayoipa hiyo assignment ya kuchuja wenye maadili vs wasiokuwa nayo itatumia kipimo gani katika hili? Ni wazo la kipumbavu kutolewa na mtu wa aina hiyo hiyo.
 
Mleta mada ni mwana CCM kufa. Usifikiri ni mpinzani. Wewe ni mgeni humu JF...
 
Very funny...

Kwavile Mange kasema sheikh yule hana maadili, leo kwako unamuona yupo sahihi

Lakini Mange huyo huyo akisema Magu na Bashite wanabashiana sawa na tuhuma zile zile dhidi ya sheikh; unamuona Mange muongo!!!!
Usichanganye mada,hapa linaongelewa viongozi wa dini
 
Kwani maadili mabovu ya viongozi wa dini yana tofauti gani na maadili yaliyooza ya viongozi wa serikali au chama? Kama hoja ni kutopeperusha bendera basi iwe kwa wote.
 
Kwa maoni na akili yako inaonekan kila kiongozi wa dini anayeonekana kutokuwa upande wa upinzani basi huyo hana maadili. Pengine Ingeleta maana zaidi kama ungeweka wazi baadhi ya viongozi wa dini ambao unapenda wapeperushe hadi bendera ya taifa kwenye magari yao kama Kakobe and the like. Vinginevyo wazo lako ni la kipumbavu sana kwa sababu hiyo serikali unayoipa hiyo assignment ya kuchuja wenye maadili vs wasiokuwa nayo itatumia kipimo gani katika hili? Ni wazo la kipumbavu kutolewa na mtu wa aina hiyo hiyo.
Wewe ni mbwiga kwani nabii Tito yuko CCM?........ Kwa akili yako hii utakuwa mke wa 4 tu si bure!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom