Jana tumekaa na Mume na Marafiki zake (Married Couples Friends) tuna chill nini
Muke ya rafiki wa Mume akanisogelea akaanza kunizingua my dia naonaga vituvyako kwenye website yako na Jamii Forum mumeo hagombi?! Unavyowakimbiza watoto wa watu mpaka huruma hivi siku ukiingia kwenye 18 ya Dereva utafanyaje?!
Money Penny: Nikacheka, ya ngoswe mwachie ngoswe hun ... ode ma nimefungua kiwanda Dereva hana shida!
Muke ya Rafiki wa Mume: Speaking of ushauri unaowapa watoto wa watu, nakumbukaga nilivyokuwa mdogo miaka 22 nilikuwa napeeenda mambo ya kikubwa kujua jua mambo ya dyudyu kufanya mapenzi kutaka kujua kufanya matusi dah nikikumbuka natamani nirudi miaka 24
Lakini tangu nimeolewa sina hamu na ndoa. .. yani mimi napenda sana mechi, napeeenda kuhudumiwa ila ikifika pati ya kula koni bwana naweza ahirisha unyumba
Imagine nimetoka kula Pilau langu nimeshiba au Makange au chakula nachokipenda kwenye restaurant nayoipenda au mume ananitoa expensive restaurant nakuuula tukifika nyumbani nasukumiziwa nanilihii kula aaaaa ptuuuuuuu nachooooookaa sipeeeendii chakula chote kinatoka...natamani kurudi wakati sijaolewa ... Mume akisafiri nafurahije .... ndoa kwangu imekuwa mzigo sasa..na Mume wangu anavyopenda kuliwa koni hio ndio sehemu mbaya ninayoichukia kwenye ndoa yangu
Ningewashauri Vijana wasihangaike kuwahi kukimbilia ndoa... msokomezo wa machine sijaupatia suluhu bado
Aya mmesikia nyie Vijana my ndoa friend amewashauri