Ushauri unatakiwa huku

Ushauri unatakiwa huku

hujafa hujaumbika, mwambie aombe talaka halafu siku hiyo pauchi yake inapata breakdown ndio ataifahamu dunia
 
ndoa ni katika shida na raha! usimsaliti mumeo! sasa hivi nimegundua wanaume wengi wenye ya kufunction huwa wana wivu sana. Pole, muombe Mungu akusahaulishe sex! Mungu anaweza yote!

Aaaa wapi hapo ni kuachana au kucheat! Kucheat ni nzuri zaidi kwavile huvunji ndoa na una endelea kumhudumia mume na watoto.
 
Asikubali kuacha kazi ili apate nafasi ya kucheat. Haiwezekani kuishi bila mgegedo ukiwa mzima wa afya na viungo vinafanya kazi vizuri.
Anachotakiwa ni kumjali huyo muathirika, kumpenda na kuendelea kuwa mama bora wa familia.
Mambo yake afanye kwa siri sana bila wetuwa karibu kujua. Kwani mbona wanawake wengi tunacheat bila kujulikana?? Kama baba ana kisukari, au mapresha au full busy mbona tunajihudumia nje na life inaendelea? Sembuse hiyo??
 
bora utoboke jicho kuliko hichii kiungo doh salalaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom