Ingekuwa ni ndoa ya Kiislaam ungetowa wewe talaka.
Hii ya kidunia sijui, wataalaam watakuja kukusaidia.
Napenda kukupa nasaha, vyovyote itakavyokuwa, usitembee nje ya ndoa na utakapopewa talaka usitembee nje ya ndoa, hakikisha unalewa tena.
Pia fikiri, kwa kuwa mmeshazaa na mumeo, mnaweza kutumia njia nyingi mbadala za kufanya "sex", si lazima hilo dudu lilisimame.
ila kama happiness win umekuwa huyo mdada hiviii...hahaha nachokoza tu.
ila kama happiness win umekuwa huyo mdada hiviii...hahaha nachokoza tu.
napita tu....will never come back.
Nisubiri tuongozane niko nyuma yako
Mchokozi wewe.
Mie kusema ukweli tena kweli tupu mbele ya sura ya dunia hii ya leo. Ningemuacha; tena kwa amani tu. nimeandika humu ili tu kupata mawazo tofauti na yeye mwenyewe ajionee watu wasemavyo.... no dudu no ndowa.
Hiyo ni mojawapo ya sababu ambazo ukipeleka Mahakamani talaka inakubaliwa kutolewa yaani non- consumation of marriage labda kama anaweza kwenda kufanyiwa maombezi akapona. Ndio maana hata biblia inashauri mwanamke ambaye ni mjane na hajafikisha miaka 60 ni vizuri aolewe lengo ni kumuepusha kuishi maisha ambayo sio mazuri mbele za Mungu.
Sasa hapo kuna ndoa tena?