Nyendeke
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 1,552
- 2,844
Wana Jf kuna kijana wangu anafanya kazi na coy flan kwa takribani mwaka kwa mkataba, hivi sasa amepata kazi ya Petrol station Manager na anataka aache kule kwa mwanzo inagawaje mshahara ni mkubwa eti kisa ameambiwa kuna maslahi ingawaje mshahara ni mdogo.
Naomben wenye uzoefu wanipe ushauri ili nkamshauri kijana asije potea.
Natanguliza shukrani!
Naomben wenye uzoefu wanipe ushauri ili nkamshauri kijana asije potea.
Natanguliza shukrani!