Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Kwa hiyo kila dada aliekua na boyfriend asiolewe? maana na wenyewe wanaweza kuja kumshawishi ili wakumbushie. Kasema dada has changed! so we can expect bamdogo akijileta atatimuliwa vipaswavo.hapo wala sio pakuoa kusema kweli....maana huyo baba mdogo akitaka kumbushia itakuwaje?hapa ili amuo huyo demu bsi ni vizuri ukweli wa uhusiano wao uwe wazi ata kwa ndugu hapo sasa mambo yatakuwa shwari.
Kwa hiyo kila dada aliekua na boyfriend asiolewe? maana na wenyewe wanaweza kuja kumshawishi ili wakumbushie. Kasema dada has changed! so we can expect bamdogo akijileta atatimuliwa vipaswavo.
Amuoe 2 kwa sababu keshatubu na kuomba msamaha na kubadilika,kama Mungu anasamehe na kusahau makosa yetu sisi ni nani?halafu wapo hapo juu mnaosema hafai wangapi mmeshawahi kutest dna ya wapenzi wenu,hi dunia bwana mviringo unaweza ukawa hata wewe hapo juu unatoka na kaka yako au dada yako?kwa nini kuna siri duniani ili baba afiche wale wa nje au mama?issue si ba mdogo wala mdogo issue ni moyo na tabia,akimuoa ntamchangia,
hapa stuation ni tofauti becoz ex bf hamna kitu to be ashamed abt lakini kugonoka na baba mdogo ni kitu cha aibu sana..hivi yule bba mdogo anaweza kumbana kuwa mie nitasema kwa watu kuwa nilikunani hii....na deu anaweza kumuachia
kuhusu ex bf mie bwana naamini kabisa kuwa nao wakuwaangalia kwa wingi. mie nikioa naenda na demu wangu saudi arabia akae kule 3 years ndio narudi nae bongo maana ukiendelea kaa haphapa ma ex watsea aolewa wapi huyo watutulikuwa twamla bwana
lakini akitoka huko suai adabu tele
huyu ndo BUJIBUJI bwana!!Sijawahi kuiona Krismas isiyo na gharama. X mas lazima nyumba nzima mnyuke pamba mpya, msosi bomba na shangwe tele. Xmas imekaribia. kwangu hamna ushauri wa bure, chukua namba yangu uijaze na m pesa ndipo nikusaidie.
Kuna mfanyakazi mwenzangu anataka kumwoa binti ambaye wamedumu ktk uhusiano mwaka mmoja na nusu,
tatizo ni background ya binti huyo,.kwani kipindi jamaa anaanza uhusiano naye iligundulika kuwa binti alikuwa na uhusiano na baba yake mdogo!
Na binti alishatoa mimba mara mbili za huyohuyo baba mdogo ambaye wanaishi naye nyumbani,.jamaa alipombana binti kuhusu uvumi huo alikiri na kudai kila kitu ni kweli na kwamba alianza uhusiano na babake mdogo tangu wakiwa kidato cha pili ila kwa sasa wameachana,babake mdogo alimaliza masomo na mpaka sasa anaishi hapo hapo nyumban.,kwa kuwa jamaa anampenda msichana alivumilia mpaka msichana kamaliza shule na sasa binti anaonekana mtulivu na mwenye mapenzi ya dhati tofauti na awali alionekana kicheche!
Binti kwao mambo safi hivyo pamoja na kipato cha
Jamaa kuwa kidogo kidogo binti amekuwa akimjali na kumthamin,.baada ya binti kukiri yaliyotokea zamani na kuamua kuomba msamaha ameamua kubadiri tabia na kuwa mtulivu,.sasa jamaa anataka kumwoa anaomba ushauri wenu!