Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Best usinifanyie hiviiiii.Nitoke kidg nje ya topic...Huyo mkewe ana yaya??kama hana yaya mwambie kuna mdada mtu mzima anatafta kazi za uyaya...anajua lugha 4 .kiswhili...kingereza.. kisukuma..na kihehe!
All the best🔥
Ntamwambia usijalimie niletewe zawadi bas
Ahsante sana mkuu, tena sana!Mkuu mbona sehemu zipo nyingi sanaa
Mwambie aende china akadhuru lile daraja la kioo
Au iceland kule kuna hotel za chini ya bahari ata enjoy
Au Atakama Namibia kwenye jangwa la atakama kuna adventures nyingi tu na ni cheap kwa kiasi chake
Au Italy akahudhurie matamasha ya miziki ya asili ya watu wa italy
Au Brazil...., huko ndo kuna alot of adventures
Au mwambie akatembelee hata mbuga ya serengeti
Amewahi hata kwenda Kenya???Kiduku Lilo njoo utoe ushauri huk
Huyu ni pede la jf ujueAmewahi hata kwenda Kenya???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu ni pede la jf ujue
I will check mkuumwambi aende santorini ugiriki
Waungwana,
Ninae rafiki yangu ambae anajua mimi napenda sana kusafiri as my hobby. Like a week or so, alinipigia simu kuniomba nipendekeze kwake nchi gani atembelee atakapopata likizo yake ifikapo November mwaka huu. Kwa kweli nashindwa kumshauri kutokana na vigezo vyake hivyo nikaona sio mbaya nikaja nikaomba ushauri humu on his behalf.
Budget yake ni USD 2,500 kwa yeye na mke wake na mtoto wao wa mwaka mmoja.
Alikuwa anataka kwenda Egypt lakini hali ya usalama ya Egypt imemfanya ai-cancel hiyo trip, South Africa ameshawahi kwenda so it's not an option, Morroco could be but it's super expensive. Dubai there is nothing to see ukiacha majengo tu, Oman it's not ideal. South east Asia may be but he is not sure.
Moja ya important factor to consider ni distance because mke wake hataki kupanda flight itakayochkua zaidi ya masaa nane.
Turkey and Jordan were very good options kwake ila tatizo huko kutakuwa na baridi ikifika November na wao wana mtoto mdogo.
Wadau hebu nisaidieni na ambae yupo serious kumtengenezea hiyo itinerary anaweza hata kumpa hela ya soda.
Hizi vitu ni real time consuming na vinahitaji uwe na muda haswa. Vinachosha pia.
Karibuni kwa ushauri wandugu
Kama nlivyokwambia mzee baba, hii kazi ni ngumu kweli.mwambi aende santorini ugiriki
The problem that I can see sio budget kivile, tatizo ni masharti. Kwa mfano kama ni mimi mbona ningeelekea to Greece kwa hiyo route itakayochkua 32 hours bila matatizo. Ila jamaa wife wake hawezi long flights. Mimi mwaka Jana nlikwenda Malaysia kwa budget ya kawaida tu na kila kitu kilikwenda sawa mzeeHiyo bajeti iwe angalau $5,000 kwenda nchi za watu humjui mtu ni vizuri kuwa na pesa ya kutosha ili usiadhirike.
Hapataki TZTz kuna vivutio vingi pia mtoa mada...mmevimaliza?