mutagaywa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 891
- 189
Natanguliza shukrani na kwa hali naona neema yaweza rejea tunamshukuru Mungu kwa kupata mvua Dar.
Sasa maombi yangu ni haya binafusi nia shamba langu la miti ambalo nilipanda tangu mwaka 2011 january kwa sasa miti yangu ina takriban miaka 6 hivi nilikuwa naomba kujua naweza chukua mkopo wa dhamani ya milion ngapi wakuu ili niweze kujitanua kiuchumi na kuweza kufikia malengo yangu.
Naomba kuwasilisha