Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

Mkuu ngoja nimsaidie jamaa.....kwamba wazazi walimlazimisha? mwenyewe binti yupo tayari kuishi bila wewe, ila wazazi wake ndio wanahofia atazeekea nyumbani......

Pia jamaa anakushangaa, kwamba unajisifia huyo jamaa amekupigia simu, eti kukwambia alitumia kinga, ni kwamba huyo msichana wako inawezekana amempanga jamaa aruke asilimia 100 ila ndio mhusika,

pia msichana wako anakujua huna uanaume ndani yako ndio maana akapata huo ujasiri, wa kumpanga hawara yake akupigie...

Pia jamaa ameshangaa ujasiri wa huyo jamaa na msichana wako unatoka wapi, yan wanapeana namba kukupigia na tena waanze kusema walitumia kinga kweli mkuu? ..... kwamba you are of no harm to them really??....

kama mwanaume, kuna ujinga huwezi kusikiliza kama kiteteo pia huwezi kupigiwa simu na jamaa ukamsikiliza huo ujinga, man you are too good for that cheap drama ya huyo msichana asie na adabu
Baada ya mimi kukataa katu katu na kumtelekeza ndipo wazazi wakanihoji sababu haswa ni zipi,Baada ya kuwaelezea kwa kuwaonyesha ushahidi ndipo walipotaka kumhusisha huyo mchepuko ambaye niwe tu muwazi,Tangu nidukue mawasiliano yao (maana hata baada ya kumrejesha kwao hakugundua kuwa bado nafuatilia) niligundua kuwa tangu agundue ni mjamzito hakuwa na mawasiliano naye ya karibu wala hakuwahi kumjulisha habari za ujauzito.Kwa kifupi kati ya wote anaowasiliana nao hakuna hata mmoja aliyemweleza habari za ujauzito isipokuwa mimi (Kwa mujibu wa dukuzi).Kuhusu kuonekana dhaifu napenda tu utambue kuwa mtoto ndiye anayenifanya nionekane hivyo kutokana na kwamba,Hapa tuwe wawazi tu kuwa damu ni nzito kuliko maji,Endapo ikatokea mtoto kweli akawa wangu,Je italeta picha gani kwa mtoto hapo baadae? Hilo tu ndilo linanipa ukakasi.
 
Alafu unajiita mwanaume, na ghadhabu imeshuka na huruma imekuingia dah... usingesema ata yani maana n ujinga maamuzi uliyochukua sio yakiume kabisa.
 
Mkuu nimeshangaa sana, yani no matter amemsave huyo msichana Wife, na huyo jamaa elekea amemsave hawara wa wife. ...

Hawara wa wife: kaka habari, mimi ndie nilielala na mkeo,

Mleta mada: Sawa ila hiyo mimba vipi

Hawara wa wife: usijari boss, Nilitumia kinga. sjawahi kusex bila kutumia kinga mkuu...

Mleta mada: sawa nimekuelewa......

Kaka its a disgrace yani ni kutoheshimiwa kabisa kwa asilimia 100.....yani ujinga huo mleta mada anausikiliza kweli?
Nimekuelewa mkuu.Ila tambua binti ni mjamzito na possibility ya uhusika wangu ni 50/50.Je ungependa mtoto wako azaliwapo asitambue uwepo wa mzazi mmoja au asimuliwe jinsi ulivyomtelekeza 100% tangu ujauzito?
 
Alafu unajiita mwanaume, na ghadhabu imeshuka na huruma imekuingia dah... usingesema ata yani maana n ujinga maamuzi uliyochukua sio yakiume kabisa.
Maamuzi sahihi ni yapi mkuu? Kuitelekeza mimba 100%?
 
Maamuzi sahihi ni yapi mkuu? Kuitelekeza mimba 100%?
Kuitelekeza n wewe umesema. Wewe kama wewe ungetoa maamuz ambayo yangekua fundisho kwake maana alishindwa kujiheshimu kama mchumba wa mtu... hivyo ungesubiri mtoto azaliwe upime dna wakat huo wazazi wamlee maana mtoto wao tayari ameshaharibu, nakama mtoto akizaliwa na akawa ni wakwako mhudumie kwa mahitaji yote (ila huyo bidada sio tena)
 
Nadhani ndicho nilichofanya ila kwa ushauri wenu kutoka humu humu pia kwa baadhi ya ndugu jamaa na marafiki ni kwamba kiuungwana nichangie japo kidogo katika kulea mimba (kwa kigezo kwamba pia nilihusika kukojolea ndani kwa miezi yote hiyo na kwamba hata ikitokea DNA ikaonyesha mimi ni mhusika pasiwepo na lawama nyingi na manung'uniko na roho ya kukataliwa kwa mtoto ambaye atakuwa damu yangu).Amini mkuu nilishamtelekeza 100% ila nimewasikiliza washauri
 
Habarini wandugu

Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri mzuri.

Moja kwa moja niende kwenye kile kilichonileta hapa, nimekuwa nikiishi na mpenzi wangu ambaye nikiri kuwa bado ni tineja na nimemzidi miaka mingi kidogo na nimeishi naye kwa miezi kadhaa.Siku za karibu nimekuwa nikidadisi simu yake na nimegundua anawasiliana na watu tofauti tofauti.

Kwa kifupi amekuwa akiwasiliana na wanaume tofauti tofauti na mawasiliano yao si ya kuridhisha kwani anajirahisisha kwao na wengine hata kupanga kuonana nao.Cha ajabu nikijaribu kumhoji na kumwambia kwanini anafanya hivyo? (japo kimafumbo bila yeye kujua kuwa ninafahamu anaowasiliana nao)

Anapinga kabisa na kudai ananipenda na hawezi kufanya hivyo.Mbaya zaidi siku za karibuni amepata mimba na ushahidi ninao kuwa amekutana na mwanaume mwingine siku za hatari pia katika siku hizo hizo za hatari amekuwa akikutana na mimi kwa kuwa ninaishi naye.

Kwa kifupi sina uhakika kama mimba ni yangu ( japo anasema ni yangu ) na sitokuwa tayari kulea mimba ya mwanaume mwingine au kuishi na mwanamke mwenye mtoto wa kidume mwenzangu.Kiukweli roho inaniuma sana na mpaka sasa nimebaki njia panda sijui nifanye nini.Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.Ahsanteni

Update 01

Nimemtimua Binti; Yupo kwao.

Update 02

Wakuu habari zenu?.Kwanza niwape pole kwa majukumu ya kila siku katika mapambano ya kuinua uchumi.

Baada ya miezi kadhaa nimeamua kuleta mrejesho wa hali ilivyo ili pamoja na mengineyo,Niweze kupata ushauri zaidi.

Kwanza baada ya kuwapa update kwamba binti nilimrudisha kwao niwajulishe tu kuwa mpaka sasa bado yupo kwa wazazi wake hakuna kilichobadilika.Baada ya binti kukataa kujishusha na kuongea ukweli wakati ushahidi wote ulikuwepo nilichukia zaidi.Nisiwachoshe sana,Ni kwamba amekubali kuwa kweli alichepuka tena katika siku ya hatari zaidi (wale mnaoelewa jinsi mizunguko ya siku za wanawake zinavyoenda nadhani mtakuwa mnaielewa day 14).Jambo moja ambalo amelia na kusisitiza sana ni kwamba walitumia kinga.Huyo jamaa pia alinipigia simu akiniaminisha kwamba ana uhakika 100% kwamba alitumia mpira na siku zote huwa anatumia mpira kwa mwanamke yeyote anayekutana naye.

Kwa maana hiyo amesisitiza kuwa anauhakika 100% kwamba mimi ndiye mhusika.Na yupo tayari hata kufanya DNA test baada ya mtoto kuzaliwa.Nikiri wazi kuwa baada ya misisitizo hiyo imebidi niwe mpole kidogo.Nilikuwa nimepanga nimtelekeze 100% mpaka mtoto atakapozaliwa,Lakini kwa sasa imebidi nianze kuhudumia.

Sasa katika harakati za kuhudumia kuulizia chakula anachokula,maendeleo ya mtoto tumboni n.k nimejikuta zile hasira nilizokuwa nazo juu yake zinaanza kunipungukia kwakweli sijui ni mbinu za wanawake,Lakini nimefanya hayo yote pia nikijaribu kumuondoa stress (Maana anaonekana kuchoka sana na kulemewa na mzigo) Jambo ambalo si zuri kwa afya ya mtoto tumboni.

Je, Mpaka hapo nipo sawa au nimekosea?
Mwanamke anakiri kuchepuka wakati upo nae Kisha unataka tukushauri? Sikushauri uendelee na huyo Malaya wanawake wapo wengi tafuta mwanamke mwingine anayejua thamani ya mume
 
Nimekuelewa mkuu.Ila tambua binti ni mjamzito na possibility ya uhusika wangu ni 50/50.Je ungependa mtoto wako azaliwapo asitambue uwepo wa mzazi mmoja au asimuliwe jinsi ulivyomtelekeza 100% tangu ujauzito?
hawezi kuja kupa nafasi ya kupima DNA mkuu, ni vile muda wa kupima hiyo DNA haujafika lakini hataruhusu maana yeye anajua ukweli wote.....

Alafu hakumhusisha jamaa kwa ujauzito kwasababu, anaona wewe unaunafuu pia unabeba dhamana yake kimaisha,

Ngoja nkwambie mimba ni kitu kidogo sana kwenye dignity yako, mimba ipo na zitakuwepo tu....ila maamuzi haya yatakutesa kwenye ndoa yako mwenyewe miaka yote kwasababu ameishakusoma madhaifu yako upande wa maamuzi.... Atakusumbua sana mbeleni ukiishamuoa mark my words

Hatukatai inabidi uplay fair sehemu nyingine, lakini inabidi uwe bold kwamba yeye hautamuoa hata kama mtoto ni wako.....
 
Nadhani ndicho nilichofanya ila kwa ushauri wenu kutoka humu humu pia kwa baadhi ya ndugu jamaa na marafiki ni kwamba kiuungwana nichangie japo kidogo katika kulea mimba (kwa kigezo kwamba pia nilihusika kukojolea ndani kwa miezi yote hiyo na kwamba hata ikitokea DNA ikaonyesha mimi ni mhusika pasiwepo na lawama nyingi na manung'uniko na roho ya kukataliwa kwa mtoto ambaye atakuwa damu yangu).Amini mkuu nilishamtelekeza 100% ila nimewasikiliza washauri
ok
 
Niwakumbushe tu wanajukwaa na wachangiaji hususan wale wenye mawazo ya kukosoa,Binafsi ni mtu mwenye msimamo mno.Mpaka hapo kumrudisha nyumbani na kuwachana wazazi wake halikuwa zoezi dogo,Ila niwe muwazi kwamba linapokuja swala la mtoto ndipo kwa kiasi fulani udhaifu wangu ulipo.Yaani roho inaniuma sana kuwaza mtoto akiwa wa kwangu na jinsi nilivyomtelekeza.Kwa ambaye hajakumbwa na hisia za mapenzi ya mtoto huenda asielewe jambo hili.Mbaya zaidi pamoja na ukakamavu na msimamo ila kwa vigezo na nguvu kubwa ya uaminishaji uliofanywa kunithibitishia uhusika wangu wa 100% kwa ujauzito,Nadhani hata angekuwa mmojawapo wa hao wanaoponda lazima angekubali (Msimu wote wa danger zone pia nilipiga kavu) na binti anasisitiza uhusika wangu 100%. Je, Niingie mitini moja kwa moja?
 
Achana nae mpk ipimwe DNA usihudumie hata senti tano. Nakwambia tena mtoto si wako. Utanielewa baadae
 
Back
Top Bottom