babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,962
- 20,291
Kaleta mada ya 'omo kwa backdoor kuchokonoa reaction ya ya waja ila wengi hawajamwelewa. Processor yako kumkichwa ipo vizuri Mkuu.Mleta mada yupo uwanja wake wa nyumban
Ni busara kutumia neno Baadhi,maana Hilo neno unejumuisha as if wote tunafanywa...Hilo NI tusi la wazi umetutusi we mburukengeIla wanaume mnaona tunafaidi sana π’
Nimeishia kwenye kununuliwa anaconda mpya.....mtoa mada ni mtu wa upinde hii story ni chaiAnaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,
Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,
Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Ishuu ni dipuπ€πΎππππππ upiii??
Khaa ngoja nihame hili jukwaa!Hao jamaa wanapapasana makalio!
Haraka sana timua mbio usiache hata vumbi nyuma.Khaa ngoja nihame hili jukwaa!
πππππ wee gran pah em sema kweli??Story za mitandaoni za kutunga hizo! Waliowahi kukutana na hizo situations katika uhalisia wake hawako hivyo hata kidogo
Wengi walipata BP mpaka kulazwa ama stress mpaka kuchanganyikiwa nknk
Sasa mtoa mada na story inahusu nini? Mie nimeikuta huko, nimeileta hapa.Nimeishia kwenye kununuliwa anaconda mpya.....mtoa mada ni mtu wa upinde hii story ni chai
lakini nawewe pia una historia ya kusapoti ushoga! imefikia humu wakahisi na wewe ume-left groupHapa nilipo hamasisha ni wapiii? Nimeichukua huko FB nimeileta humu kupata maoni.
Haya nimehamasisha wapiiii?
unaona sasa na huyo anakutuhumu kuwa wewe ni Gay?Sasa mtoa mada na story inahusu nini? Mie nimeikuta huko, nimeileta hapa.
Kwani mie ndo nimetunga hii story?? Wee umevurugwaaa?? πππππ
πππππ visa vya FB hukoo.Haya ma sms ni sawa na yale ya akina MANGE na Askofu Dickson Kabigimula . Wanatengeneza then wanajifanya wametumiwa.
Ni namna watu wanavyosaka tension mitandaoni.
Ni uongo.
Harrier sasa hivi inafika mpaka million 50 na zingine zinazidi hapo.
Mtu ambaye bwana wake anaweza kumnunulia gari ya million 50 on the spot atacheza upatu wa kazini?
Upatu ni kwa watu maskini na waliokosa akili.
unaliwa kweli?Basi sawaaa.
Ukifatilia humu utagundua sijawahi kumtukana mtu kabisa kwahiyo tafadhari tafuta uliozoea kutukana nao Nb mimi sio mburukengeNi busara kutumia neno Baadhi,maana Hilo neno unejumuisha as if wote tunafanywa...Hilo NI tusi la wazi umetutusi we mburukenge
Takusimuliaπππππ wee gran pah em sema kweli??