Ushauri unahitajika hapa

Kwakweli sitojaribu kufanya huu upuuzi, na Mungu anisaidie๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Mpaka dk hii timu ya wanaume tupo pungufu, kuna kadi nyekundu kadhaa..
Ila acha wapungue ili neno la mungu litimie..
Lazima vidume tuwe wachache..
 
Attachments

  • 20251221_111233.jpg
    136.9 KB · Views: 7
Hiyo Harrier bado ipo tu imefunikwa ? Niiazime nikaringishie huku sitimbi kwetu ?

Hii ni fix tu kuchangamsha jukwaa... hakuna kitu kama hicho... Story za magazeti ya Sani na yale madalida "fema"
 
Ushauri kwa huyo dada kwa kua pesa bado anazitaka na anahofu kulea watoto peke yake basi avumilie yaan awe mpole ikiwezekana atulie tuliiiii kama maji ya mtungi
 
Hiyo Harrier bado ipo tu imefunikwa ? Niiazime nikaringishie huku sitimbi kwetu ?

Hii ni fix tu kuchangamsha jukwaa... hakuna kitu kama hicho... Story za magazeti ya Sani na yale madalida "fema"
Hii inaweza kua fix ndio ila kuna mtu namfahamu kabisa anasema mume wake hakojoi mapka amtie kidole matakoni huyo dada mpka amechoka na wana ndoa inayotambulika
 
Hii inaweza kua fix ndio ila kuna mtu namfahamu kabisa anasema mume wake hakojoi mapka amtie kidole matakoni huyo dada mpka amechoka na wana ndoa inayotambulika
Dunia kwisha, kwa hiyo mpaka jamaa apigwe busta ! Hii michezo ya ajabu inashamiri sana ...hasa haya mashule ya bweni, uchafu mwingi unaanzia huko
 
Hii maana yake ni makanisa 7 lolz sio wanawake as wanawake ๐Ÿ˜…
Aiyaaa... nimekula za uso.. basi mie nikajua walimbwende..
Ila no sweti kwa spidi hii ya hawa vijana wanavyorusha taulo..
Wanaume tutakuwa bidhaa adimu sana.
 
Dunia kwisha, kwa hiyo mpaka jamaa apigwe busta ! Hii michezo ya ajabu inashamiri sana ...hasa haya mashule ya bweni, uchafu mwingi unaanzia huko
Imagine aiseee alianza kugundua anapenda kuwekwa vidole mda ule wa kuaandana bibie akimnyonya naniiii mwanaume anajichanua kama uyoga halafu anamwambia bby we nifanye chochote huu mwili ni wako ๐Ÿ˜„
 
Imagine aiseee alianza kugundua anapenda kuwekwa vidole mda ule wa kuaandana bibie akimnyonya naniiii mwanaume anajichanua kama uyoga halafu anamwambia bby we nifanye chochote huu mwili ni wako ๐Ÿ˜„
mmh mbona amekupa code ya ndani sana? huyo bibie ni nani ako na wewe ni jinsia gani?
 
Yaani mkuu huwa nawashangaa sana watanzania jinsi ambavyo wamekuwa ni watu wakukurupukia mambo.
Ndio maana watu huwa wanatapeliwa sana na stori za matapeli.
 
We utakuwa shoga tu... kwann unaleta habari za kuhamasisha ushoga??
 
Shtukeni shtukeni

Hiyo ni story ya kutunga, coca kajitungia story ili aendeleze kuhype ushoga.

Huyo mtoto furaha yake ni kuona wote mmekua upinde. Hakuna ukweli wowote wa hiyo story

Kama hiyo page inapokea confession za watu kuhusu matatizo ya ndoa, kwa nini coca hajaleta story zingine zaidi ya hiyo yenye ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ